SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Mkuu feni nzuri za bei rahisi ni zipi na sh.ngapi?
Bei rahisi kama shilingi ngapi mkuu? Feni nzuri bei zake ni 95k 85k na zaidi ya hapo. Ukitaka feni za 30,000 utauziwa mafeni ambayo unawasha baada miezi miwili inaanza kukusumbua. Mimi ninazo hizo za 95 , karibu sana mkuu
 
mbona kakuandikia bei za tv palee, acha wivu na maisha ya wenzako, # pambana na hali yako,
 
hana hela wala nia huyo anakupotezea mda mkuu, mwenye nia na hela hawez uliza utumbo huo
 
Hii ya kuwekesha inakuaje?
Kuwekesha ni Kwamba unakuja dukani halafu unachagua kitu ambacho unataka halafu unalipia kidogo kidogo ukimaliza unachukua.. hii ni lazima mtu uje dukani ili tufanye agreement au labda kama ww ni mteja wa mbali ambaye tumeshawahi kufanya biashara.

Kuna wadau kama wawili hvi wa JF walikuja tukafanya hii biashara (ya kuwekesha) wiki mbili zilizopita, naawaomba waje watoe mrejesho Tafadhali
 
Asante sana mkuu kwa Elimu nzuri. Njoo uchukue bidhaa kwa discount ya staff
 
Mm ktk kuwekesha ndo pazur ila 2 npo Dodoma bt nachukua namba yako mkuu.
Karibu sana mkuu, nipigie tu tutaongea vizuri na nitakupa maelekezo. Ila hauna mtu yoyote aliyeko hapa dar??
 
mbona kakuandikia bei za tv palee, acha wivu na maisha ya wenzako, # pambana na hali yako,
Hii bosi wewe ndio unauona huu uzi leo na kudandia gari kwa mbele.Alivyoandika huu uzi kwa mara ya kwanza hakuweka bei na sisi tulimshauri na akakubaliana na kuweka. Tangu ameweka bei kumbe anauza vifaa bora kabisa na kwa bei nafuu sasa wateja wanamiminika ofsini kwake kununua. a ushauri waNa ni majuzi tuu nimepokea pm yake akinishukuru kwa ushauri wangu kwani imebidi aagize mzigo mwingine kabla ta muda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…