SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Wakuu , kwa bidhaa zote za Boss kama mafriji, sabwoofer, majiko ya boss na bidhaa zingine zenye brand hiyo ya BOSS hakuna Payment on delivery.

Ila bidhaa nyingine sawa huduma hiyo ipo kwa wateja wa hapa dar.
 
Nina laki 4 nahtaj tv sumsung 32" mkuu
Hapana mkuu , kwa pesa hiyo utaweza kupata Star-X TV 32" , ni nzuri tu sana. Yofauti yake na samsung ni Bei tu. Ila kwa ubora hakuna tofauti.

Karibu
0717016789
 
All Gas. Bei yake ni 430,000/-


Jiko la Kisasa BEI POA

call/Whatsapp - 0717016789
 
0717016789

H300 SONY CAMERA 550,000/-

0717016789
 
Ndio mkuu inafanya kazi kama AC tu, kuna moja unaweka mabarafu ila ya kisasa unaweka maji tu halafu inafanya kazi yenyewe. Pia ukitaka uitumie kama feni unaweza. Ni wewe tu unaamua kuweka settings gani.

Ni shi ngap mkuu
 
HOMETHEATRE SAMSUNG(WIRELESS speakers) Unazo? naomba bei tafadhali,nije.
 
Nahitaji tv ya nchi 32 niko mbeya, ila naomba nieleweshe utofauti tv za kawaida na smart tv ili nichague kitu bora?
 
Nahitaji tv ya nchi 32 niko mbeya, ila naomba nieleweshe utofauti tv za kawaida na smart tv ili nichague kitu bora?
Tv za kawaida hazina internet ila smart tv zina mfumo wa internet unaweza kuiunganisha na wi-fi au modem ukaperuzi kwenye mtandao.
 
Nahitaji tv ya nchi 32 niko mbeya, ila naomba nieleweshe utofauti tv za kawaida na smart tv ili nichague kitu bora?
Haya mkuu, umeshapata Maelezo tayari. Unaweza nicheki kwa 0717016789 uweke order yako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…