mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
leo jumamosi munafunga saa ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apple hawatengenezi tv ukisikia apple tv ni tv box kwa ajili ya kistream online channels kama android box vileApple hawana Tv?
Ndio mkuu inafanya kazi kama AC tu, kuna moja unaweka mabarafu ila ya kisasa unaweka maji tu halafu inafanya kazi yenyewe. Pia ukitaka uitumie kama feni unaweza. Ni wewe tu unaamua kuweka settings gani.
Tv za kawaida hazina internet ila smart tv zina mfumo wa internet unaweza kuiunganisha na wi-fi au modem ukaperuzi kwenye mtandao.Nahitaji tv ya nchi 32 niko mbeya, ila naomba nieleweshe utofauti tv za kawaida na smart tv ili nichague kitu bora?