Star- X inch 32 bei yake ni 395,000 mkuumkuu tv ya star x nch 32 wauzaje boss, na vp kuhusu Lg, vp unayo star x ambayo pembeni ni silver?
Sikiliza mkuu pale dukani kuna mzigo wa jumla na reja reja. Na pia TV moja same size inaweza ikawa na model tatu tofauti na price tofauti pia. Sasa naweza sema hapa tv flani size fani ni bei hii kumbe mambo yakaja kuwa tofauti.Hata mimi sijaelewa kwanini anasema bei zinabadilika kila siku, au kila siku anaingiza mzigo mpya?
Kama sivyo basi kuna shida mahali.
Mkuu unaposema bei zinabadilika kila siku, sisi tunaelewa inabadilika kwa specific productSikiliza mkuu pale dukani kuna mzigo wa jumla na reja reja. Na pia TV moja same size inaweza ikawa na model tatu tofauti na price tofauti pia. Sasa naweza sema hapa tv flani size fani ni bei hii kumbe mambo yakaja kuwa tofauti.
Ndio maana nimeshauri nyoe mniulize bei mtaje products. Na pia kwanzia kesho nitakuwa naweza hapa model mbalimbali na bei zake kutokana na ushauri wa mdau mmoja hapo juu
kama bei ulivyoipanga tuwekee na picha zakeMkuu sabwoofer zinatofautiana bei.
Kuna za 65,000
85,000
100,000
110,000
Wewe tu useme unataka ipi au aina gani
Basi pita kwa kunyata uende zakoMbona bei sizioni?
Ndio,Mkuu unaposema bei zinabadilika kila siku, sisi tunaelewa inabadilika kwa specific product
Mfano labda Tv Tcl inch 32 leo inaweza ikawa 200 Tsh na kesho ikawa 210 Tsh.
Hivyo ndivyo maelezo yako yanavyoeleweka.
I stand to be corrected.
Nionyeshe ya 85000.Mkuu sabwoofer zinatofautiana bei.
Kuna za 65,000
85,000
100,000
110,000
Wewe tu useme unataka ipi au aina gani