Nilitaka kujua bei ya tcl ndogo kabisaSijaelewa swali lako mkuu
Mkuu nipigie simu. Ila nipo maeneo ya benki ya azania hapa. Underground floorMko mtaa gani, toa location vizuri tuje wenyewe kwa miguu. Toa precise location tusije kuanza kumangamanga tukaibiwa Bure,maana kariakoo haina muamana
250,000/ kesho nijeAir cooler unapata kwa Tshs - 280,000/-
Ni ya kisasa kabisa mkuu