SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
home threat ni bei gani za makampuni zote
Mkuu home theatre nimeziposti kwenye posti za juu hapo ,

Ila kwa ufupi kuna Sony , Panasonic na LG. Niambie unapendelea ipi na watts ngapi ,

Ila zinaanzia laki tatu na mapaka mamilioni huko...

Karibu sana mkuu
 
Jiko la gesi sahani 2 bei gani?
 
High Power Home Audio System with DVD

SHAKE-X10D



Bei yake ni 1,650,000/-
 
Mkuu unaposema bei zinabadilika kila siku, sisi tunaelewa inabadilika kwa specific product
Mfano labda Tv Tcl inch 32 leo inaweza ikawa 200 Tsh na kesho ikawa 210 Tsh.

Hivyo ndivyo maelezo yako yanavyoeleweka.
I stand to be corrected.
Alichosema ni kweli. Bei za vitu sio constant. Zinabadilika kulingana na soko
 
Karibuni Dukani wakuu, tumefungua na sasa tupo wazi. Karibuni sana

 
Pia tunatoa huduma ya Kuwekesha, yaani unakipenda kitu , then unalipia kidogo kidogo mpaka utakapomaliza unachukua mzigo wako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…