SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Asante sana mkuu kwa ushauri na nitaufanyia kazi. Na asante sana kwa kunisaidia kuwaelimisha watu hapa.. pia nawashauri kwa watu wa dar ambao wanaweza kuja dukani ni bora wakaja inakuwa rahisi zaidi na kuchagua vitu vingine na kujibiwa maswali mengine.
 
Hii TV ni nch ngapi na ni bei gani
 
AISE HAPA HUDUMA KWA WATEJA IKO SAWA PENDA HILO JIBU
 
muhimu wa vitu hivi vimetengenezwa wapi kama made in japan nzuri na malaysia na indonesia na korea na thailand zitakuwa nzuri lakini ikiwa south africa china siihitaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…