Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ukiweka size nzuri ya tairi unadundika nayo freshi tuhizo low profile usine ukapiga shimo, ndio utajua habari yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiweka size nzuri ya tairi unadundika nayo freshi tuhizo low profile usine ukapiga shimo, ndio utajua habari yake
Buku 15 anakuuzia nani Daslam hii?Tairi za nje huwa zinakuwa zimekauka. Sokoni izo imunaweza kuzinunua kwa buku 15 kwa moja.
Hii Nissan ya mwaka gani janja?Hii inaingia kwenye Nissan extray?
Amesema elfu 70 kwa zote 4.Laki kwa zote nne na tairi zake.
Ebu nipe expire ya tyreRim hii mtumba Size 20 inaingia kwenye Harrier,Alfard,Vanguard,Kluger,Mark X, Crown Athlete na Royal,Rummio
Iko Sokoni.Toa dau lako kwenye namba +255742662669 Either uchukue Rim tu au Rim na Tire.
nzuri sana ,good quality na guaranteed imeagizwa nje haikutosha kwenye Gari.
Atakaeielewa kwa Dar es Salam njoo ikague Kinondoni Studio,nje ya Dar es Salam tutakutumia
View attachment 1836400
Haiingii kaandaki tuu.Hii inaingia kwenye Nissan extray?
Hata kama sio zangu lakini hii ni dharauLaki kwa zote nne na tairi zake.
[emoji23][emoji23]Ni hiyo extray badala ya extrail ndio imekutoa ufahamu.....!!??
now you are questioning my ownership!!??
Mkuu, nilishawahi uza rim 4 za Range Rover kwa laki. Zilikuja na gari ya jamaa mmoja nilimsaidia kuagiza ikaja na rim zile original zikiwa kwenye Boot.Hata kama sio zangu lakini hii ni dharau
Aaha, sasa unataka yeye auze bei sawa na mfanya niashara anayekodi frem na kulipa kodi na mishahara. Yeye si anauzia nyumbani? Ukienda dukani ukauziwa kwa elfu 40 ujue huyo mfanya biashara ameshaongeza gharama kibao juu ya hiyo bei anayokuuzia but so far yeye atakuwa amelichukua kwa bei chee.Buku 15 anakuuzia nani Daslam hii?
Sasa mshkaji anatuambia mark x pia inatumia 20, wakati inatumia 18. Anaijua kweli mark x uyu?
Namhitaji power steering ya Toyota Hilux 5L engine ya mwaka 1998 no itapatikana kwa shs. Ngapi mkuuused spare parts zenye ubora na original Kutoka Japan na Dubai tutafute tukuhudumie.
Ubora wa spare zetu nimzuri wa Magari ambayo hayajatembelewa kwa kilomita nyingi.
Epuka kununua spare parts zilizotumika hapahapa nchini kukomesha wizi wa spare za Magari wa ndani yanchi.
Nunua au agiza nasi kwaubora wa spare parts zenye guarantee.
Tunatuma mikoani nandani ya Dar tunakuletea popote ulipo.
Duka lipo Mwananyamala Komakoma karibu kabisa na CRDB Bank.
Piga namba /whatsup +255742662669.
KARIBU SANA.
Una radio za mtumba za magari.?Nauza spare parts za magari kwa bei nzuri mzigo mpya umeingia original kutoka Japan.
kwa jumla na rejareja tutafute tukuhudumie.Tunakuagizia pia kama spare haipo dukani.KARIBU!tupo M/Nyamala Komakoma piga simu,tuma meseji au Whatsup +255742662669 mda wowote kwa huduma sahihi.
View attachment 1834350