Hellenea Enterprises
Member
- Jun 8, 2017
- 46
- 17
Ndiyo MKUUJe, mna mpango wa kuwa na mawakala mikoani?
Asante,Ndiyo MKUU
Karibu tufanye biashara
Karibu sana Mr EqualizerMimi pia naweza kuwa wakala.
Sawa kizimbuzi tutafanya hivyo...Chukua kamusi hapo tafuta tofauti kati ya "stationary" na "stationery" na usome hayo maneno ujue maana na tofauti yake
na legal paper ni bei gani kwa bandle?
Pata file za Alba Rado, An pai na office point kwa bei ya jumla na rejareja ni bei nafuu sana
Karibuni sana Wananchi..!!
Niko mkoani , nitakuja DAR kuchukua mzigo hapo ofisini kwako kwa ajili ya stationery yangu , halafu tutaongea vizuri namna ya kufanya biashara pamoja.Karibu sana Mr Equalizer
Tunazo za Typek shilingi 44,000/= ambazo ndani ni PC 10na legal paper ni bei gani kwa bandle?
Hizo za juu ni saiz ndogo PC 12 ni shilingi 25,000/= na za chini ni kubwa PC 12 kwa shilingi 33,000/=.Hizo file za alba rado pichani ni bei gani kwa dozen?
SawaNiko mkoani , nitakuja DAR kuchukua mzigo hapo ofisini kwako kwa ajili ya stationery yangu , halafu tutaongea vizuri namna ya kufanya biashara pamoja.
Hiyo ni namba ya ofisini ni ya mezaniMbna no haipo watsap....k Nataka tufanye biz....
Hiyo ni namba ya ofisini ni ya mezaninikucheki whatsapp now!