Hellenea Enterprises
Member
- Jun 8, 2017
- 46
- 17
- Thread starter
- #21
Jipatie daftari aina zote kuanzia zenye kurasa 32 hadi counter book vyote kwa bei ya jumla na nafuu sana..!
Karibuni sana wananchi.....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana tufanye biashara Mkwaruu...!Vipi uwakala unapatikana kwa mtu aliyoko mkoani
Karibu sana Root dukani kwetu...!!
Hizo Ream paper unamaanisha mnauza REAM PAPER MOJA yenye KARATASI 500 Mnauza kwa Tsh 36,500 ?Hiyo ni namba ya ofisini ni ya mezani
Nipigie kesho au hata unibipu tu utapigiwa..
Asante...
Karibu sana Dukani kwetu..!!
Ni carton moja yenye Ream paper 5.Hizo Ream paper unamaanisha mnauza REAM PAPER MOJA yenye KARATASI 500 Mnauza kwa Tsh 36,500 ?
- Fafanua kidogo
Naomba bei ya hii kitu kwa jumla![]()
Pata file za Alba Rado, An pai na office point kwa bei ya jumla na rejareja ni bei nafuu sana
Karibuni sana Wananchi..!!
Hiyo ya juu ni elfu 25 kwa dozens 1Naomba bei ya hii kitu kwa jumla
Nahitaji angalau Carton moja ila badala ya Tsh 36,500 nataka kuwe na punguzo kidogo, inawezekana ?Ni carton moja yenye Ream paper 5.
Karibu sana dukani kwetu...!!
NdiyoNahitaji angalau Carton moja ila badala ya Tsh 36,500 nataka kuwe na punguzo kidogo, inawezekana ?
Tafadhari tupigie simu 0711972446 kesho tuweze kuzungumza vizuri,Asante sana....!!Je mnaweza kututumia huku mikoani, na ili niwe wakala nifanyeje? Maana ninastationary hapa Ifakara town
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hatuna lakini ukihitaji tutakuletea...