Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

Karatasi double A na paperon bei gani, na Unaweza kunitumia mkoani
 
Spring file zile za plastic mnauzaje kwa dozen, nataka na bei ya counter book bei ya jumla
 
Hivi mko serious na biashara kweli?

Simu haipatikani jf hampatikani!
 
Jipatie White board zenye Stendi kwa bei nafuu sana 90cm*60cm
20180326_104438.png
20180326_103908.png
 
Karibu dukani kwetu ujipatie boksi la karamu kwa Tsh 5,000/= tu!
[HASHTAG]#0711972446[/HASHTAG]
Untitled-2.jpg
IMG_3410.JPG
 
Chukua kamusi hapo tafuta tofauti kati ya "stationary" na "stationery" na usome hayo maneno ujue maana na tofauti yake
stationary means not moving na stationery means writing and other office materials
 
Habari,
Naomba kujua bei ya vitu vifuatavyo
Rim carton A4 bei gani?
Manila Carton bei gani?
Bahasha A4 carton bei gani?
Bahasha A3 carton bei gani?
Rim carton A3 carton bei gani?
Transparent carton bei gani?
DVD carton bei gani?
CD-R carton bei gani?
CD-RW carton bei gani?
 
Back
Top Bottom