Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
lile duka pale sijui kama bado lipo, nilipita Week iliyoisha kama washafunga kuunga juhudiWhite board shngp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lile duka pale sijui kama bado lipo, nilipita Week iliyoisha kama washafunga kuunga juhudiWhite board shngp?
White board shngp?
Hii white board ni bei gan?Jipatie White board zenye Stendi kwa bei nafuu sana 90cm*60cmView attachment 726008 View attachment 726014
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh.!!?lile duka pale sijui kama bado lipo, nilipita Week iliyoisha kama washafunga kuunga juhudi
0752384739Kama unahitaji supplier wa vifaa vya stationery toka Uarabuni nicheki
Mkuu ni kweli wamefunga?lile duka pale sijui kama bado lipo, nilipita Week iliyoisha kama washafunga kuunga juhudi
lile duka pale sijui kama bado lipo, nilipita Week iliyoisha kama washafunga kuunga juhudi
Nakushauri ufungue uzi wako unaojitegemea kuliko kuunganisha humuNina kamtaji kangu, nataka kufungua stationary hapa manyoni singida, mwenye uzoef na biashara hii naomba A B C zake
Haisaidii, issue ni kufahamu maudhui tu ya anachokitangaza!Chukua kamusi hapo tafuta tofauti kati ya "stationary" na "stationery" na usome hayo maneno ujue maana na tofauti yake
Sema kitu gani hasa usaidiwe kama sehemu ya kupata bidhaa, mbinu za masoko au kitu gani hasaNina kamtaji kangu, nataka kufungua stationary hapa manyoni singida, mwenye uzoef na biashara hii naomba A B C zake