Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

Mie nahitaji kuwa wakala wenu sumbawanga na katavi,vigezo vyenu ni vipi?
 
Kama unahitaji supplier wa vifaa vya stationery toka Uarabuni nicheki
 
Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika
Discussion in 'Matangazo madogo' started by Hellenea Enterprises, Jun 9, 2017.

Mleta uzi, siku ukiwa na muda, nakushauri ubadilishe tangazo lako! hilo stationaries
sio neno ambalo lina maanisha SHAJARA kama ulivyokuwa umekusudia.
Neno sahihi ni Stationery na sio Stationary
Pia neno stationery halina wingi: ni makosa kuandika "STATIONERIES"
Kuna maneno ya kizungu ambayo hayana wingi kwa mfano
stationery
water
blood
Luggage


 
Jamaa ashakula hasara kwenye bango lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…