Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam
Hilo eneo lipo tuangoma stand mpyaaa, Umbali kutoka stand hadi site ni dk 10 kwa kutembea kwa miguu

Ukubwa wa eneo ni mita 20/23

Bei mil 15 maongezi yapo kidogo

Pia Kuna chumba kimoja

Mawasiliano 0748270719

IMG-20240103-WA0002.jpg
 
Huyu jamaa hayuko serious kabisa....

Anauza Square Meter 1 kwa 230,000 Msakuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakosea msamehe bure. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madalali wengi naonaga hawana akili
Kazi ya udalali inafanywa na watu ambao hawana elimu na wanafanya kama sehemu ya kujiingizia kipato na sio watoa huduma ndio maana hata ukikutana nao mnapozungumza unaona kabisa yeye anakazania kupata faida na sio kukuhangaikia wewe kupata huduma au bidhaa bora.

Mfano kwenye biashara ya nyumba za kupangisha. Dalali anaweza kukuzungusha siku nzima ili apate posho yake ya kukuzungusha ila sio kukupatia mazingira mazuri ya nyumba ya kuishi unayoitaka.
 
Back
Top Bottom