Shoo ilianza kontena la mama prince kuzuiwa lisipite bila kodi. Mzee mlima nanasi akapigwa butwaa😁The prince mwenyewe unaambiwa baada ya siku tatu Jiwe kuingia ikulu alienda eti aonane naye waongee akazuiwa getini. Jiwe alimaindi kichiz nakumuambia 'geriauti'.
Ila Jiwe aliichokosea ni kumpoteza Ben8 na kumpiga lissu risasi na udikteta. Kuna wakati alimzuia hadi mzee mlima mananasi kwenda dubai kula bata Airport. Baadaye wakajitetea ohh sijui visa ya mabeki tatu wawili haikukaa sawa.Shoo ilianza kontena la mama prince kuzuiwa lisipite bila kodi. Mzee mlima nanasi akapigwa butwaa😁
Kamisheni, kodi, na transfer analipa muuzaji. Wakili analipwa na mnunuzikwa ivo mzigo mzima kabla ya kulipa Kodi za TRA ni kama bilioni saba hivi??
Kamisheni yako unalipwa na muuzaji ama mnunuzi?
Baada ya kununua 10% ya Wakili analipa nani?
Nimechangia kama kuchochea tu mjadala. Lakini kwa wenye hela zao bei bado ni "reasonable" hasa ukitilia maanani kwa kila "Unit" nane zilizopo kama kila moja inalipiwa dola za kimarekani 1,200 kama kodi kwa mwezi.
1200 x 8 x 12 =11,520 sawa na shilingi za kitanzania 264,960,000 kwa mwaka. Sio uwekezaji mbaya kwa wenye uwezo wa kifedha wa kuwekeza humo.
Kiujumla jumba ni kali, kubwa na bei iko poa sana.Njiro, House/Ghorofa Mpya Inauzwa kwa Robo Bei - Arusha
.
• Mahali: Njiro ndogo, mita 100 kutoka lami
• Hali ya nyumba: Mpya ya kuhamia
• Bei: TZS 150,000,000 (fixed)
• Ukubwa wa kiwanja: 500 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
.
ghorofa 1 • vyumba 6 (vyote self contained) • sebule • dining • jiko • washroom ya jumuiya • balkoni na bindo • malumalu sakafuni • madirisha vioo • paving • uzio • maegesho ya gari • maji na umeme vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
View attachment 2332438View attachment 2332439View attachment 2332441View attachment 2332442View attachment 2332443View attachment 2332444View attachment 2332445View attachment 2332446View attachment 2332447
Hapo ukute mwenyewe anataka 300M!!• Mahali: Kibamba, barabara ya Morogoro
• Ukubwa: 12,000 Sqm
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS 800,000,000
.
• eneo limetazama barabara ya Morogoro
• maji na umeme vipo
• panafaa kwa ujenzi wa petrol station, yard ya mabasi au malori, hotel, nyumba za kupangisha, n.k
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
View attachment 2334895View attachment 2334897View attachment 2334898View attachment 2334900View attachment 2334902View attachment 2334903View attachment 2334905View attachment 2334906
Very affordable ....• Mahali: Visiga Miwaleni. Mita 600 kutoka Morogoro Road
• Ukubwa: Mita za mraba (sqm) 2,100 (60 x 35)
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Bei: TZS 5,000,000
• Kupelekwa site kuona: TZS 30,000
.
maji na umeme vipo • barabara inapitika majira yote
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
View attachment 2338490View attachment 2338491View attachment 2338492View attachment 2338493