Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Picha za muonekano kwa ndani?

Picha za hilo bonde
lioneshe vzr
 
• Mahali: Luguruni, mita 150 kutoka barabara ya Morogoro
• Ukubwa: 5000 sqm
• Bei: TZS 180,000,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
upande wa kushoto kama unatoka Mbezi Louis • panafaa kwa yard ya mabasi, malori au mitambo. pia panafaa kwa ujenzi wa kanisa, nyumba za kupangisha au hostel za wanafunzi • panafikika majira yote kwa gari kubwa au dogo • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
Ila hi nchi yetu ni taamu hapa bagamoyo jamaa angu anauza shamba lake ekari 20 kila ekari laki tano tu......wakati wewe unataka 180m kwa ekari moja tu.
 
Ila hi nchi yetu ni taamu hapa bagamoyo jamaa angu anauza shamba lake ekari 20 kila ekari laki tano tu......wakati wewe unataka 180m kwa ekari moja tu.
Hiyo bei ni rahisi mpaka nimeshtuka.
Huwezi kufananisha hekari 100 za Bagamoyo ndanindani na hekari moja ya Mbezi Louis barabarani.
Hayo yatakua siyo maisha yanayozingatia ukweli.
 
Kaibie washamba
 
Hiyo bei ni rahisi mpaka nimeshtuka.
Huwezi kufananisha hekari 100 za Bagamoyo ndanindani na hekari moja ya Mbezi Louis barabarani.
Hayo yatakua siyo maisha yanayozingatia ukweli.
Sawa mbezi na bagamoyo sio sawa kuna umbali wa kilomita kama 40, Sawa bei zisiwe sawa sawa ila sio kwa tofauti ya 180m kwa ekari moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…