uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
-
- #441
Kula mil 2, nikupe moja, mwezi ujao nakupa 1
Ongeza picha tukione vizuri
KaribuSafi
Shimo si unafukia mkuu?Kiwanja kina shimo
Bro mambo vipi? Habari za siku?Karibu
Salama mkuu,za ukoBro mambo vipi? Habari za siku?
Safi..naona bado unasukuma maeneo,upo mlandizi?Salama mkuu,za uko
Ndio mkuu,Ila muda nipo town,utanipigia tuongeeSafi..naona bado unasukuma maeneo,upo mlandizi?
Hakina mgogoro iko?Icho Cha ndugu yangu
Hakina mgogoro wowoteHakina mgogoro iko?
KaribuHakina mgogoro iko?
Eneo Ni kubwa mkuu,ukiamua kuongeza unaongezaWalau kingekua 30*40 ningekuja
Sawa mkuu,karibuUshauza?
Pakikuch ntakupgia
Hapana mkuu,hati za mauzianokina hati au offer?