Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Lipo Ruvu ,,ekari 1 laki nane.umbali toka morogoro road ni km 5.umbali toka mtoni mita 600.Eneo zuri kwa kilimo na ufugaji pia.kama utataka zaidi ya ekari moja utaungiwa na ya jirani isipokua bei itaongeza.karibuni pm
 
Shamba hekari tano linauzwa kila eka ni 150,000/= shamba lipo Mbwewe wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga mbele kidogo ya mto wami shamba linafaa kwa nafaka zote. Miembe, Michungwa, Mipera, Ndimu, Mananasi, Mtama, Etc. Kwa muitaji piga 0715657004
 
Maji yapo? Vipi Kuhusu wanyama waharibifu km nyani, nguruwe nk? Umbali Toka barabarani?
 
Back
Top Bottom