uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #141
Ukubwa 20 kwa 20 vipo vinne vyote 20 kwa 20Ukubwa wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukubwa 20 kwa 20 vipo vinne vyote 20 kwa 20Ukubwa wake?
Msufini kabla ya kufika msangani mkuuKwa mathias sehemu gani,,,na kina ukubwa gn
OK.... Ngoja nitakuchek mkuu,,Msufini kabla ya kufika msangani mkuu
Poa poa mkuuOK.... Ngoja nitakuchek mkuu,,
ladyfurahia lipo flat kama hili kongowe kibaha hekari 5..
vipi ungependa kuchukua?
Bei yake ipo vp
kuna Kiwanja pia kwa Matias kibaha 20 kwa 20 bei milioni mbili na nusuBei yake ipo vp
Yapo lakini sio ilo.kukodisha laki moja kwa mienzi sitaKukodisha vp?
Karibu ulime upate ugali
Apana hayafiki kabisaMaji yanapojaa hayafiki?
Ruvu Kisabi mkuuRuvu sehem gani mkuu?
OkeyHivi kulima na kubet including biko na tatu mzuka, kipi bora?
Natania tu mkuu. Subiri wanunuzi wanakuja
Maji yapo? Vipi Kuhusu wanyama waharibifu km nyani, nguruwe nk? Umbali Toka barabarani?Shamba hekari tano linauzwa kila eka ni 150,000/= shamba lipo Mbwewe wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga mbele kidogo ya mto wami shamba linafaa kwa nafaka zote. Miembe, Michungwa, Mipera, Ndimu, Mananasi, Mtama, Etc. Kwa muitaji piga 0715657004