khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
- Thread starter
-
- #41
Nauza zoteNikitaka ekar moja je?
KaribuniShamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Ukitaka eka moja nunua mjini lipo Kibaigwa sh.1500000Nataka eka moja napata?
Hati ipoKaribuni
Ukitaka eka moja nunua mjini lipo Kibaigwa sh.1500000
Utapima mwenyeweHati ipo