Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Karibuni
 
Karibu ujipatie shamba zuri lisilotumia mbolea. Shamba hilo halina dalali ni mali yangu ya halali. Tuwasiliane 0683670160
 
Ndugu wana jf nina shamba la ukubwa wa ekari 4 na nusu kila moja ni shilingi 3000000 milioni tatu, jumla ni milioni kami na tatu, umbali kutoka barabara kuu ya dodoma - morogoro ni km 2, shamba linafaa kwa uwekezaji kama zahanati, shule, na ufugaji au makazi pia nyumba zimeungana na shamba hilo, shamba ni langu sina dalali labda atokee mawasiliano ni 0683670160
 
Shamba halina hati miliki utaanza mwenyewe process
 
Safi sana kumbuka Dodoma inakuwa Bora uza usepe zako
 
Nauza shamba lipo Kibaigwa Dodoma lenye ukubwa wa ekari 5 lipo mjini kwa upande wa kaskazini, mwisho wa nyumba japo kuna nyumba kadhaa zilizovuka, bei ni milioni mbili kwa kila eka, shamba limelimwa mihogo mwaka huu na nimeshavuna, km takriban tatu kutoka barabara kuu ya lami. Barabara ipo hadi Shannani, shamba ni langu mwenyewe, linafaa kwa ujenzi wa taasisi na hata kilimo, mawasiliano 0683670160
 
Mkuu, kwasasa nipo huku shambanu Pandambili.
Natarajia kuja hapo Pio Sec, kuwaona wanangu. Then nitakutafuta
 
Nauza KIWANJA Ndani ya Jiji la DODOMA barabara kuu ya Singida kina sqm 462 kina hati miliki ya kielectronic kina msingi bei ni sh 65,000,000/- nitafute 0683670160 ni makazi na biashara fremu nne vyumba vya kulala vitatu.

IMG_20220414_141150_101.jpg
IMG_20220414_141135_822.jpg
 
Back
Top Bottom