Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Karibuni
 
Mbona sio mali ya wizi kwa nini nifanye haraka hivyo? Na pia ninayo mengi zaidi ya hayo
 
Back
Top Bottom