Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini, kipo NALA CHINANGALI, ni MITA 500 toka lami ya Singida road, kimepimwa na kina hati, kina SQM 3954 kila SQM 1 ni sh, elf10. Mawasiliano 0683670160 au 0622670160 kiwanja ni changu na hakina Dalali, ukimleta mteja asilimia 10 inakuhusu ni kiwanja namba 384 block EE eneo la Nala CHINANGALI.

IMG-20231024-WA0007.jpg
IMG-20231024-WA0006.jpg
 
Nina million 3 mkuu ukiona inafaa nicheki tumalizane Nina mpango wa kufungua kiwanda kikubwa Dodoma
 
Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini, kipo NALA CHINANGALI, ni MITA 500 toka lami ya Singida road, kimepimwa na kina hati, kina SQM 3954 kila SQM 1 ni sh, elf10. Mawasiliano 0683670160 au 0622670160 kiwanja ni changu na hakina Dalali, ukimleta mteja asilimia 10 inakuhusu ni kiwanja namba 384 block EE eneo la Nala CHINANGALI.

View attachment 2813977View attachment 2813979
Nala Chinangali unaingilia wapi??anza kuelekeza kutokea Nala Park(Nala ya Kwanza)
 
Ukiwa Nala park hapo ni Nala Jamaica, upande wa pili ndio Nala CHINANGALI, sasa hapo Nala park kama unarudi mjini Kuna shule inaitwa saint home, alafu upande wake wa pili Kuna hiyo barabara mpya iliyochongwa kwa mbele utaona Kuna nyumba imepauliwa paa refu sana kunaitwa kwa msukuma, sasa kwenye hiyo nyumba hufiki ni kwa huku karibu na lami kwenye nguzo za chuma za tanesco kupitia hiyo barabara mpya au ukitaka urahisi Kuna sehemu Kuna ka yard ka magari wanakaita tanesco
 
Nami naingilia TANESCO mpaka kwenye Kisima cha Maji pale,nakata kulia kwenye nyumba za pembeni pale nina nyumba zangu 2 nimepangisha,kama ni kwenye ile Barabara iliyochongwa mbele kule sawa,lakini kwa kuuza shilingi 10,000 kwa Square Meter 1 upo juu sana maana ni mbali,jirani yangu kwenye nyumba zilezile za pembeni ya kisima ana kiwanja Square Meter 700 na anauza Milioni 4,500,000 mwezi wa pili sasa hapati mteja na haitaji nguzo ya umeme ni kuvuta tu,hata Maji jirani yake mwingine wa pembeni ameshachimba kisima hivyo kujenga ni kuvuta Mpira tu lakini anahangaika kutafuta mteja!!!punguza Bei ndugu
 
10,000x3954=39,540,000/=

Halafu wewe unataka utoe mil 3, upo sawa kweli?
Hii ni biashara bro , nataja nilichonacho au wewe unamia Nini hakuna hela ndogo dogo ukitaka kuamini Hilo shamba nalinyakua na hiyo pesa
 
Nami naingilia TANESCO mpaka kwenye Kisima cha Maji pale,nakata kulia kwenye nyumba za pembeni pale nina nyumba zangu 2 nimepangisha,kama ni kwenye ile Barabara iliyochongwa mbele kule sawa,lakini kwa kuuza shilingi 10,000 kwa Square Meter 1 upo juu sana maana ni mbali,jirani yangu kwenye nyumba zilezile za pembeni ya kisima ana kiwanja Square Meter 700 na anauza Milioni 4,500,000 mwezi wa pili sasa hapati mteja na haitaji nguzo ya umeme ni kuvuta tu,hata Maji jirani yake mwingine wa pembeni ameshachimba kisima hivyo kujenga ni kuvuta Mpira tu lakini anahangaika kutafuta mteja!!!punguza Bei ndugu
Nimepa dau zuri la Million 3 soon watanipigia
 
Unashaurije, nina shida ya pesa, hati ninayo na ninalipia
 
Back
Top Bottom