Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
102
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
 
Amepotea. Mkuu njoo uweke bei watu wakutafute bana
 
Hizi biashara na kutokuwa na bei kuweni makini nazo
 
Shamba hekta 5 linauzwa Chanika bei makubaliano.Kwa maelezo zaidi,

Piga simu namba whatsaap 0713 95 92 90 au 0685 65 55 35
 
Viwanja kwa bei rais .kuna umeme na barabara,chanika Nyaburu .Kwa maelezo zaidi contact whatsaap 0713 95 92 90
 
weka maelezo yaliyokamilika!
chanika ipi maana chanika ni kubwa sana
unauzaje?
ukubwa gani?
vina hati?
 
kiwanja kinauzwa kipo chanika magengen ,kuna umeme na barabara mpaka kwenye kiwanja ,ni tambalale ,ni eneo endelevu ,kina ukumbwa wa feet 37 kwa 23 .kwa mawacliano zaidi contact 0713 95 92 90
 
feet 37 ni sawa na 11.277mita na feet 23 ni sawa na 7.0104mita, haya je hiyo plot unaijenga nyumba ya ukubwa gani!? na bei ya kiwanja ni kiasi gani!?
 
feet 37 ni sawa na 11.277mita na feet 23 ni sawa na 7.0104mita, haya je hiyo plot unaijenga nyumba ya ukubwa gani!? na bei ya kiwanja ni kiasi gani!?
Kuna watu wanapenda kuchekesha walionuna...
Hiko kiganja hata chumba na sebule haupati.
 
Kiwanja kibaha maili moja Lolanzi kwa Islam kinauzwa ni km 1 na nusu toka barabara ya Dar -moro. Kipo sehemu zuri sana .
Pia chanika kiwanja kinauzwa, Kina ukumbwa wa 40 kwa 20 , kuna umeme na barabara mpaka kwenye kiwanja. Ni eneo endelevu.

Kwa maelezo zaidi contact whatsaap 0713 95 92 90 or 0685 65 55 35
 
Back
Top Bottom