Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

Kiwanja kibaha maili moja Lolanzi kwa Islam kinauzwa ni km 1 na nusu toka barabara ya Dar -moro. Kipo sehemu zuri sana .
Pia chanika kiwanja kinauzwa, Kina ukumbwa wa 40 kwa 20 , kuna umeme na barabara mpaka kwenye kiwanja. Ni eneo endelevu.

Kwa maelezo zaidi contact whatsaap 0713 95 92 90 or 0685 65 55 35
Lulanzi si mailimoja kijana ni picha ya ndege ndani ndani huko......
 
Huwa siziaminigi sana biashara zisizo na bei kwani % kubwa huwa niza kitapeli
 
Biashara za mpaka kupiga simu ndio uambiwe bei ni mwanzo wa utapeli.
 
Ndio yale ya kununua kiwanja kimoja mmeuziwa watu watatu.......
 
Kiwanja kinauzwa kibaha picha ya ndege Lolanzi kwa Islam .kina ukumbwa wa mita 30 kwa mita 25 .kwa maelezo zaidi contact whatsaap 0713 95 92 90
13c3a3bce11c97dc5bb49951f90c402e.jpg
033541d1a7025b301581c2a5789e1b8f.jpg
 
Shamba zuri kwa ufugaji na ukulima wa boga boga .lipo km 3 toka barabara ya Dar-Moro .8mil per hekta .mazungumzo yapo kwa serous buyer.hakuna mto ila water base ipo karibu sn .na ni eneo linaloendelea kwa kasi sn .na miondo mbinu ni rafik
Kwa mawasliano whatsaap 0713 95 92 90
 

Attachments

  • IMG_20170201_121305.jpg
    IMG_20170201_121305.jpg
    396.5 KB · Views: 35
Kiwanja cha Ukubwa wa hekta mbili kinauzwa ,kipo Mlandiz Msongola,kipo sehemu Tambarare kinavaa kwa ajili hata ufugaji wa kuku .kipo km 3 toka barabara ya Dar-Moro .8mil per hekta .mazungumzo yapo kwa serous buyer. water base ipo karibu sn .na ni eneo linaloendelea kwa kasi sn .na miundo mbinu ni rafik
Kwa mawasliano whatsaap 0713 95 92 90

Attached Files:
 
Mkuu Msongola ni km 3 kutoka mainroad kweli? Umepima kwa gari au? Any way plot ni nzuri ila bei umeanzia juu sana
 
Kiwanja cha ukubwa wa hekta 2 kinauzwa .kipo Mlandiz,kipo sehemu inayoendelea kwa kasi kubwa,karibu na,serikali ya mtaa Msongola .bei ni sh mil 8.kwa hekta .serous buyer mazungumzo yapo .for more information contact whatsaap 0713 95 92 93
 
Kiwanja kinauzwa kipo Picha ya ndege Lolanzi kinauzwa sh 2,5mil .mazungumzo yapo kwa serous buyer .kwa maelezo zaidi whatsaap 0713 95 92 90
 
Back
Top Bottom