Lulanzi si mailimoja kijana ni picha ya ndege ndani ndani huko......Kiwanja kibaha maili moja Lolanzi kwa Islam kinauzwa ni km 1 na nusu toka barabara ya Dar -moro. Kipo sehemu zuri sana .
Pia chanika kiwanja kinauzwa, Kina ukumbwa wa 40 kwa 20 , kuna umeme na barabara mpaka kwenye kiwanja. Ni eneo endelevu.
Kwa maelezo zaidi contact whatsaap 0713 95 92 90 or 0685 65 55 35
Bei iko wap mkuuMkuu Msongola ni km 3 kutoka mainroad kweli? Umepima kwa gari au? Any way plot ni nzuri ila bei umeanzia juu sana