yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Chawa ipi na Nala ipi unazungumzia !!
Low Density unavyo maeneo gani?
Sijui nitoke Dar nihamie Dom. Ebu nishawishi mkuu
Hadi mimea haiwezi kuishi, watu wanaishije huko!
Sema Bunju Mbali sana from City Center
Hivi mnaposema viwanja vimepimwa huwa mnamaanisha nini?
Kipo cha 30*30 hata mabwepande?