Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.Wanasema mkataba unaukomo halafu hawajaweka ukomo kwenye maandishi yao View attachment 2697503
Umeusoma mkuu au ni bahasha?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Tatizo la CCM anayetoa ufafanuzi yeye mwenyewe hajausomaHuo ufafanuzi watauelewa wajinga wenzao sio mtu mwenye akili timamu
Aliadimika labda alikuwa busy kuandaa Makala ya Kila Jumapili🤣🤣Umeusoma mkuu au ni bahasha?
Ni kwanini walikubali kutia saini hayo mnayoita makubaliano?, kwanini wasingesubiri kusaini mkataba?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Sahivi kaanza kupewa tenda za sabasaba na nanenane ndiyo maana hawezi kujenga hoja tenaAliadimika labda alikuwa busy kuandaa Makala ya Kila Jumapili🤣🤣
Wanazunguka mithili ya mchonyo wa kuku waseme hizo projects zitaisha lini?
Wataje ukoma ni miaka mingapi? simple
Pascal mzee wangu unatatizo sehemu, km sio ulevi basi ni uzee.Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Nimekumbuka enzi za ufafanuzi wa JK... mnaitana wazee wa Dar es salaam, nje mnapitia kwanza vibahasha vya kaki na sambusa kwa soda kisha mnaingizwa ukumbini.Tatizo la CCM anayetoa ufafanuzi yeye mwenyewe hajausoma
Tuna nchi ya kijinga snNimekumbuka enzi za ufafanuzi wa JK... mnaitana wazee wa Dar es salaam, nje mnapitia kwanza vibahasha vya kaki na sambusa kwa soda kisha mnaingizwa ukumbini.
Mnaanza kusifia namna alivyopasuliwa tezi dume kisha mwenyekiti JK anatoa ufafanuzi uliojaa ghilba, vijembe kejeli na mipasho wazee wanapiga makofi ufafanuzi kwisha!!
Mzee wa vuguvugu na kutegea upande... na vile vi mada vyako unavyotegeshea katikati ili uzito utakapoelemea nawe unaelekea huko.Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Kwahiyo Bunge liliridhia makubaliano?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P