Duh! Mayala mbona unajiaibisha hivi? Yaani umesomea sheria lakini huelewi hata maana ya contract? Tatizo la kusomea kitu halafu hujawahi ku-practice.
Nikusaidie Mayala, contracts zote ni agreements. Lakini siyo agreements zote ni contracts. Kinachotofautisha kati ya agreement ambayo ni contract na agreement ambayo siyo contract, ni kitu kimoja tu: Agreement ambayo ni contract ina nguvu ya kisheria. Hivyo hii agreement ya kishenzi aliyosaini Mbarawa, kwa sababu ina nguvu ya kisheria, ni contract.
Lakini wajinga kwa vile IGA ina neno Agreement basi wanasema ule mkataba wa kishenzi wa DP ni agreement kwa sababu kuna neno Agreement. Lakini hawajiulizi kama IGA ni agreement kwa sababu ya neno Agreement, itakuwaje HGA iwe contract, wakati na yenyewe ina neno agreement.
CCM ni kaburi la akili. Mtu, katika hali ya kawaida anaweza kuwa na akili, angalao hata ile ya kawaida, lakini akienda CCM na labda akapewa na kacheo kidogo tu, akili yote kwisha, anabakia anabwabwaja vitu vya ajabu mpaka unashangaa.