Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kiukweli hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana, sasa kila mtu ni mwanasheria!. Prof. Shivji anatoa hoja za msingi, anajibiwa na Sheikh ubwabwa!. Kama wewe ni mtu makini, utaangalia hoja za kisheria mimi nilizotoa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! mwanasheria wa LL.B hons ya UDSM ambaye ni wakili wa kujitegemea, kuitwa mwanasheria uchwala, ni kumtukana!. Tusitukanane wandugu heshimuni purofesheno za watu!.Wewe ni mwanasheria uchwara, ile haina sifa ya kuitwa IGA, jaribu kuficha ushamba wa kisheria kwa kutafuta IGA zilizowahi kusainiwa na nchi nyingine ulinganishe na ule upuuzi ambao wewe na Dr Msukuma na Nape mnauita IGA.
P