Aliadimika labda alikuwa busy kuandaa Makala ya Kila Jumapili🤣🤣
Ana vurugu maono huyu kakaangu. Either ni mbaya kwamaana ya taratibu zilizopo za kisheria kama Katiba, Manunuzi, na michakato ya kibunge au Ni Mzuri na umefuata kanuni na sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliadimika labda alikuwa busy kuandaa Makala ya Kila Jumapili🤣🤣
Dubai ni nchi?Kuna mikataba ya kimataifa ya makampuni haina IGA, ila mikataba ya nchi na nchi ina IGA, mkataba wa bomba la mafuta la Uganda, Hoima-Chongoleani una IGA na HGA zake. Mkataba wa LNG una IGA na iliisha ridhiwa na Bunge, HGA yake bado.
Ni kweli hii IGA ilipaswa kuwa kati ya Tanzania na UAE and not Dubai.
P
Haha, mkataba kama huu wangekuletea familia yako ungesaini? Wanakuwekea masharti kibao binti yako atekeleze, badala ya wewe kuwapa masharti.Kwanza tumesema humu bila kuuma maneno IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
Hili pia nimelisemea Wajua Kuna Ndoa Halali, Batili na Batilifu?. Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji?. Wajua Ubakaji unaweza kuwa Halali?. IGA Batili Yaweza kuzaa HGA Halali?.
P
Mzee bahasha saivi zinaenda kwa wakosoaji, bado unasifia tu ?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Sawa kila HGA itakuwa na ukomo. Ila sasa hivi tunaongelea ukomo wa IGA. Je ni sasa kusema ukomo wa IGA ni pale HGA zote zitakapo malizika, ikiwa IGA hai limit HGAs?You are absolutely right, ila kila HGA itakuwa na ukomo wake.
P
Uwekezaji huu sio wa kitoto ndio maana ukapita bungeni ili kupata kinga ya kisheria.Ni kwanini walikubali kutia saini hayo mnayoita makubaliano?, kwanini wasingesubiri kusaini mkataba?
Na UKUMO ni nini kiongozi?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
it's true it's not fair at allUnajulikana hata nikiwa mdogo nimekutumia 10 years because of you.. na wengineo malegend Pascal Mayalla
Ndg. Yetu Pascal bahasha zimempofusha machoBahasha hizi
Nakuona mwanasheria uchwara, umeona jana mahakamani mawakili wa serikali wamesema kuwa ule ni mkataba. Acha njaa.Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Toka lini makubaliano kati Tanzania na nchi nyingine yakalazimika kuridhiwa na bunge?Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Mheshimiwa P hembu tuache basi kidogo, heshima yako ni kubwa sana, hili suala likaushie tu.Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Issues za kisheria sio issues za nani kasema nini, ni points of law, sheria inasema nini!. Kama sheria inasema the age of the majority ni miaka 18, na under 14 ni minor, ukitoka na under 14, hata akiridhia!, ni ubakaji na unakula 30!.Nakuona mwanasheria uchwara, umeona jana mahakamani mawakili wa serikali wamesema kuwa ule ni mkataba. Acha njaa.
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?Toka lini makubaliano kati Tanzania na nchi nyingine yakalazimika kuridhiwa na bunge?
wanazidi kuanika upumbavu wao. shithole!Kwahiyo Bunge liliridhia makubaliano?
Wewe ni mwanasheria uchwara, ile haina sifa ya kuitwa IGA, jaribu kuficha ushamba wa kisheria kwa kutafuta IGA zilizowahi kusainiwa na nchi nyingine ulinganishe na ule upuuzi ambao wewe na Dr Msukuma na Nape mnauita IGA.Issues za kisheria sio issues za nani kasema nini, ni points of law, sheria inasema nini!. Kama sheria inasema the age of the majority ni miaka 18, na under 14 ni minor, ukitoka na under 14, hata akiridhia!, ni ubakaji na unakula 30!.
Sheria imeweka sifa za mkataba, ile IGA, haina sifa hizo, hivyo yale ni makubaliano tuu, ndio maana tumeishangaa serikali yetu, Bunge letu na wanasheria wetu vilaza!.
If you have time karibu mitaa hii
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- P
Msichoelewa ni nini? Mbona Watanzania wagumu hivi? Huu mkataba unao ukomo kama walivyofafanua hapo juu.Wanaendelea kupotosha kwamba mkataba huu hauna ukumo, sio kweli! Mkataba huu una ukomo; ibara ya 23 ibara ndogo ya 1 inasema wazi ukomo wa mkataba huu; itakapotokea moja katika haya mambo mawili, kule kwenye mradi wa utekelezaji (ambao haujaanza) mradi ukaisha basi na mkataba huu utakuwa umefika mwisho lakini ikitokea ile mikataba mingine miwili ikisainiwa (HGA na mkataba wa mradi) na utekelezaji wake umeisha basi mkataba huu utakuwa umefika ukomo.
View attachment 2697503
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Msichoelewa ni nini? Mbona Watanzania wagumu hivi? Huu mkataba unao ukomo kama walivyofafanua hapo juu.
Wanamaanisha kwenye Bandari ikitokea maji yakakauka kabisa permanently au watu wakaacha kabisa kutumia Bandari ndio mwisho wa mradi. Hivyo ukomo upo, acheni kuchochea.