Tunavyosema mkataba una dosari muelewe, oneni ufafanuzi wa CCM hapa na ndio wamesema wanaelimisha watu

Tunavyosema mkataba una dosari muelewe, oneni ufafanuzi wa CCM hapa na ndio wamesema wanaelimisha watu

Je, makubaliano ndio yanatakiwa kua mabovu?

Je, kama wameweza kuingia makubaliano yenye vipengele vya hovyo, wataweza kulinda maslahi ya taifa kwenye mkataba?

Je, kama wanao uweledi, kwanini maslahi ya taifa yasingeanza kuangaliwa kuanzia kwenye hayo makubaliano mpaka kwenye mkataba wenyewe?
Kwanza tumesema humu bila kuuma maneno IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
Je, unaweza kujenga nyumba yenye msingi mbovu, alafu ukasema "huu ni msingi tu jamani, kila kitu kitakaa sawa wakati wa kuezeka"?

Mkuu Pascal, a penny for your thoughts!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hili pia nimelisemea Wajua Kuna Ndoa Halali, Batili na Batilifu?. Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji?. Wajua Ubakaji unaweza kuwa Halali?. IGA Batili Yaweza kuzaa HGA Halali?.
P
 
Mkuu Pascal, mbona tuko kwenye nchi huru. Wasiwasi wa nini mkuu? Let's call spade as spade. Either ni makubaliano au ni mkataba, maslahi ya taifa hayakuzingatiwa!
 
Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Tangu lini bunge limeanza ku - ratify makubaliano? Kwa kanuni ipi ya bunge?

Naona nawe siku hizi huoni au unazeeka vibaya kiasi cha ujinga wa kutokuwa na ufahamu kukuvaa, au siyo?
 
Wanaendelea kupotosha kwamba mkataba huu hauna ukumo, sio kweli! Mkataba huu una ukomo; ibara ya 23 ibara ndogo ya 1 inasema wazi ukomo wa mkataba huu; itakapotokea moja katika haya mambo mawili, kule kwenye mradi wa utekelezaji (ambao haujaanza) mradi ukaisha basi na mkataba huu utakuwa umefika mwisho lakini ikitokea ile mikataba mingine miwili ikisainiwa (HGA na mkataba wa mradi) na utekelezaji wake umeisha basi mkataba huu utakuwa umefika ukomo.
View attachment 2697503
Binafsi sijaelewa chochote. Ongeza sauti
 
Hata mtoto wa darasa ka saba hawez kuelewa hata kwa kukaribia sisi tunataka exactly year wao wanatoa tantarira
 
Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Seriously Pascal? Bado unaamini kuwa IGA ( Intergovernmental Agreement)sio mkataba na HGA ( Host Government Agreement) ndio mkataba!

Amandla...
 
Seriously Pascal? Bado unaamini kuwa IGA ( Intergovernmental Agreement)sio mkataba na HGA ( Host Government Agreement) ndio mkataba!

Amandla...
Mkuu Fundi Mchundo , issue ya contract na agreement sio issue ya imani na kuamini, ni issue ya vigezo vya kisheria, contract ni agreement yenye legal implications, agreement haina legal implications. Hii IGA haina legal implications or consequences
Kila contracts ni agreement lakini sio kila agreement is contract.

Sifa za contract ni pamoja na kuwa na kitu kinachoitwa consideration, hii IGA, haina consideration.
P
 
Tangu lini bunge limeanza ku - ratify makubaliano? Kwa kanuni ipi ya bunge?
Hili nimelisema Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
Naona nawe siku hizi huoni au unazeeka vibaya kiasi cha ujinga wa kutokuwa na ufahamu kukuvaa, au siyo?
Nakiri udhaifu wa sometimes kuwandikia ma GT vitu vigumu sana kwa mburulas na mburumatataz ku comprehends, soma bandiko hili angalia lilipanda lini Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! jipime kama umepata kitu au umetoka kapa!.
P
 
Mwenye taarifa anijuze kabla TICTS hajapewa mkataba pale bandarini ni nchi ipi iliingia makubaliano ya awali (IGA) na bongolala kabla huyo TICTS hajasaini HGA, maana tusiendelee kujazana ujinga..
TICTS na TPA waliingia mkataba wa ki - biashara ya kawaida kabisa. Mikataba ya kibiashara huwa haihitaji ratification ya bunge kwa sababu hiyo sehemu majukumu ya kawaida ya siku kwa siku ya taasisi za serikali kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi..

Mikataba inayopaswa kuingia bungeni ili iwe ratified ni ile ambayo ikishapitishwa yenyewe hugeuka ni sheria na wakati mwingine kulazimisha kubadili baadhi ya sheria zetu. Mkataba wa TICTS haukuwa na athari hizi..

Na hivyo basi, ktk ujibu swali lako ni vyema tujue TICTS kiasili inatokea nchi gani. Bila shaka ni Canada (I stand to be corrected)...

Na kama ni Canada, then it's obvious ipo IGA kati ya Tanzania na Canada tuliyosaini nao kwa lengo la kuanzisha na kujenga mahusiano nao ya kijamii na kibiashara/kiuchumi Kwa mujibu wa sheria za mahusiano za kimataifa..

Swali lazima liwe: Je hiyo IGA ya TZ & Canada ikoje? Ina intents & contents sawa na hii kati ya Tanzania & Dubai?

Majibu ya maswali ni ngumu kuyajua kwa sababu IGA hiyo haijavuja kama ilivyovujishwa hii inayoleta kelele sasa. Bila shaka ni kwa sababu wazalendo wavujisha siri hizi toka kwenye corridor za serikali wanajua kuwa IGA hiyo Haina tatizo kubwa na haiuzi sovereignty ya nchi yetu kama ilivyo IGA hii ya Dubai & Tanzania...!
Hili nimelisema Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

Nakiri udhaifu wa sometimes kuwandikia ma GT vitu vigumu sana kwa mburulas na mburumatataz ku comprehends, soma bandiko hili angalia lilipanda lini Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! jipime kama umepata kitu au umetoka kapa!.
P
Why don't GTs like me and others think that, you Mr. Pascal Mayalla is actually a really mburula at the same time mburumatata whom you sometimes (not always) bring on the table uncomprehensible materials?

By the way, umesoma hicho kinachoitwa vyovyote vie mkataba au makubaliano? Au nawe ni miongoni mwa wale mliolipiwa vyumba Five-star hotel huko Dubai na kupata bahasha za dinari ili mje kusema chochote huku mkiweka akili na ufahamu na maslahi ya nchi hii ya watoto wa watoto wenu kwenye matumbo yenu?

Au hamjui kuwa mkienda kunya chooni hicho mlichokula leo mtarudi square one palepale na kuhitaji kula tena huku mkiwa mmeshakabidhi fisi jiko na stoo yenu ya chakula?

Yaani wewe unaingia mkataba au makubaliano ya kijinga kama haya kama majaribio kwa hisia na fikra za kusema kuwa "yakitushinda tunayafutilia mbali?". Are you really serious?

Utaufutilia mbali kwa namna gani by the way? Ni wapi au kipengere au ibara gani ktk mkataba/makubaliano hayo kinachokupa hiyo option pasipo kuwa na gharama kubwa ya kulipa?

Kwanini hamjifunzi kwa makosa ya makubaliano na mikataba iliyopita ambayo taifa linaingia hasara ya gharama kubwa leo kulipia? What kind of people are kuwa na fikra za kijinga na kipumbavu kiasi hiki??
 
Yes CCM wanasema kweli, na huu ndio uelimishaji umma wenyewe kuhusu hii IGA. IGA sio mkataba, ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA bado, utakuwa ni mkataba mzuri.
P
Bro mbona hujaenda kwenye ile kesi ya madini Profesa Mruma anaongea mambo ya ajabu hadi imekuwa aibu. Ungeenda ww badala ya yule mwanasheria Mkenya aliyekuwa anaongea kiingereza cha tuition, au ww unataka uitetee serikali kwenye hizi mahakama zinazopewa maelekezo na wanasiasa wa CCM? Uzuri ww ulikuwa shabiki wa Magufuli, hivyo ungeweza kujenga hoja za kwa maslahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom