Mwenye taarifa anijuze kabla TICTS hajapewa mkataba pale bandarini ni nchi ipi iliingia makubaliano ya awali (IGA) na bongolala kabla huyo TICTS hajasaini HGA, maana tusiendelee kujazana ujinga..
TICTS na TPA waliingia mkataba wa ki - biashara ya kawaida kabisa. Mikataba ya kibiashara huwa haihitaji ratification ya bunge kwa sababu hiyo sehemu majukumu ya kawaida ya siku kwa siku ya taasisi za serikali kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi..
Mikataba inayopaswa kuingia bungeni ili iwe ratified ni ile ambayo ikishapitishwa yenyewe hugeuka ni sheria na wakati mwingine kulazimisha kubadili baadhi ya sheria zetu. Mkataba wa TICTS haukuwa na athari hizi..
Na hivyo basi, ktk ujibu swali lako ni vyema tujue TICTS kiasili inatokea nchi gani. Bila shaka ni Canada (I stand to be corrected)...
Na kama ni Canada, then it's obvious ipo IGA kati ya Tanzania na Canada tuliyosaini nao kwa lengo la kuanzisha na kujenga mahusiano nao ya kijamii na kibiashara/kiuchumi Kwa mujibu wa sheria za mahusiano za kimataifa..
Swali lazima liwe:
Je hiyo IGA ya TZ & Canada ikoje? Ina intents & contents sawa na hii kati ya Tanzania & Dubai?
Majibu ya maswali ni ngumu kuyajua kwa sababu IGA hiyo haijavuja kama ilivyovujishwa hii inayoleta kelele sasa. Bila shaka ni kwa sababu wazalendo wavujisha siri hizi toka kwenye corridor za serikali wanajua kuwa IGA hiyo Haina tatizo kubwa na haiuzi
sovereignty ya nchi yetu kama ilivyo IGA hii ya Dubai & Tanzania...!
Why don't GTs like me and others think that, you Mr.
Pascal Mayalla is actually a really
mburula at the same time
mburumatata whom you sometimes (not always) bring on the table uncomprehensible materials?
By the way, umesoma hicho kinachoitwa vyovyote vie
mkataba au makubaliano? Au nawe ni miongoni mwa wale mliolipiwa vyumba Five-star hotel huko Dubai na kupata bahasha za dinari ili mje kusema chochote huku mkiweka
akili na
ufahamu na maslahi ya nchi hii ya watoto wa watoto wenu kwenye matumbo yenu?
Au
hamjui kuwa mkienda kunya chooni hicho mlichokula leo mtarudi square one palepale na kuhitaji kula tena huku mkiwa mmeshakabidhi fisi jiko na stoo yenu ya chakula?
Yaani wewe unaingia mkataba au makubaliano ya kijinga kama haya kama majaribio kwa hisia na fikra za kusema kuwa "
yakitushinda tunayafutilia mbali?". Are you really serious?
Utaufutilia mbali kwa namna gani by the way? Ni wapi au kipengere au ibara gani ktk mkataba/makubaliano hayo kinachokupa hiyo option pasipo kuwa na gharama kubwa ya kulipa?
Kwanini hamjifunzi kwa makosa ya makubaliano na mikataba iliyopita ambayo taifa linaingia hasara ya gharama kubwa leo kulipia? What kind of people are kuwa na fikra za kijinga na kipumbavu kiasi hiki??