Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
List ni ndefu na vichwa ni vingi.. Nina heshima kwa wengine pia nimeona juhudi zao, uwezo wao, maono yao na michango yao.. Kwa hakika ya moyo nimewapa salute yangu kubwa
LAKINI naomba niwatambue hawa wawili kama majasiri waongoza njia... Chavala na Kabil
Wamekuwa ni chachu kubwa kwa vijana wa Tanganyika hasa katika kipindi hiki cha mpito wa kisiasa.. Wamewa inspire maelfu ya vijana si kwa usanii wa nyimbo na maigizo bali kwa vipawa na vipaji vya maarifa yenye tija kwa taifa teule la Tanganyika
Penye kustahili sifa na pongezi tufanye hivyo bila wivu wala kijicho
Hongereni Chavala na Kabil wa Habil.. Pole Chavala kwa kuonja shubiri kwenye ardhi yako