PostGE2025 Tunawahitaji hawa vijana kwenye kujenga Tanganyika mpya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Are you implying wamemgawana Polepole? Naona wameishaanza kuruka kila mmoja wao anasea kuwa hajui alipo Polepole : it creates jitters in me, hopefully they have not committed such a serious blunder!
We have satellite surveillance.. Nothing can be hidden
 
Hebu tupeni cv ya Miki Chavala
Nilisoma nae minaki mwaka 2011 hadi 2013 advance akiwa pale minaki boyz alikuwa akisoma egm kumbuka enzi hizo minak kama sio kichwa huji shule nzima tulikua tuna division 1 form 4 kwa hiyo micah kichwani zipo fuvu lipo so kuja tu pale enzi ili hashiria u r greateness

Tuendelee Alikuwa akipenda sana maswala kuhubiri dini hasa ulokole pia kuimba kwaya ..na muda wote kuvaa suti za kilokole na kwenda sana makanisa ya nje shule kuhubiri au kuonana walokole wengine hakuwa na tabia mbaya kabisa

First time naonana nilienda kuomba ushauri wa kiroho kwake tulikaa tukaongee jambo fulani lilinitatza kiroho wakati huo

Baada ya kumaliza advance micah chavala alipata inspiration kutoka kwa jamaa mmoja anaitwa sunday huyu sunday yeye alienda kufanya interview 2012 ya kwenda kusoma korea kusini unalipiwa kila kitu na korea kusini hivyo sunday alituzidi darasa moja kumbuka hivyo akaenda korea ...pia sunday alikuwa mlokole ......micah akiwa minaki alikuwa mshamba kidogo yaani hajui kuvaa kisasa ana very local yaani

Micah 2013 mwaka unaofuata baada ya kuona sunday kapita nae akafanya interview kwenda korea akapata na akaondoka zake wakati huo mimi naenda jeshini micah yeye anapanda ndege kwenda korea kusini hadi nauli unalipiwa wewe ni begi tu na nguo

Kufika korea alisoma chuo kule na kufanya shughuli za music na hata ushamba ukaisha kuanzia kuvaa hadi style za kimaisha watu wa minaki wote walishangaa mikaa kuaanza kuvaa kiujana na kuwa swaga kuliko hata watoto wa mjini wa minak enzi hizo....akawa mnyamwezi

Alikaa miaka mingi sana korea akaja kurudi 2023 kama sio 22 tukakutana pale mlimani city wakati huo akiwa tayari ana umaarufu nchini ethiopia sababu alikuwa akitaka aman wakati ethiopia ina vìta ya tigray sijui mnaikumbuka hii vita ........narudi micah ni maarufu ethiopia kuliko tanzania sababu ya kazi ya amani ya ethiopia aliofanya hivyo aliwahi itwa kukutana wazir mkuu wa ethiopia nahisi .....umaarufu ethiopia sababu korea alisoma nao ila kule... umaarufu inshort star kule ....kule akienda serikal inampokea kwa heshima sio story check youtube yake

Turudi tanzania alivyofika akaniambia karudi bongo ila shughuli yake kuu ni itakuwa media tu na baadae akaanzisha kiwanda cha unga jina kairos kama sikosei tuakachana pale akienda gym mimi nikirudi kwangu sijamuona tena hadi sasa hivi alivyovuma kwenye hii habari maandamano

Pia why nilipata kuwa rafiki na huyu kiana japo sio sana sababu tunatokea mkoa mmoja iringa

Sasa siku kabla ya kukamatwa kuna video mbili alitoa moja akiombea amani tanzania nyingine akiwa anatembea huko mitaa ya dodoma ..ndo manyan'gau wakamuotea trh 29 dodoma ni mungu tu hata yeye kuwa mzima maana ilikuwa noma

Pia bonus kuna mwenetu mwngine morogoro wa minak wakamuotea yey kilichomuokoa kupiga kelele natekwa jamani recording wanaenda kuniua watuwarecord ndo pona yake alikaa mwezi huyo yeye hana hamu na nchi
 
Sasa siku kabla ya kukamatwa kuna video mbili alitoa moja akiombea amani tanzania nyingine akiwa anatembea huko mitaa ya dodoma ..ndo manyan'gau wakamuotea trh 29 dodoma ni mungu tu hata yeye kuwa mzima maana ilikuwa noma🥺🥺🥺
 
Leo nilikuwa busy kidogo na simanzi kutokana msiba

Ila nimepata moyo na furaha baada kuiona video hii ya ndugu yetu Mika Chavala akitushukuru sana ndugu zake. Usikate tamaa tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom