Yesterday, I had the privilege of being a panelist on @letstalkshowtz, hosted by @ericjoh_, alongside some truly remarkable men of God. It was a wonderful experience to connect with the people of...
Kichwa chenye kujitambua hutumia akili kubwa kuielimisha jamii. Huyu ndio mmoja wa vijana tunaowataka katika taifa letu, ila vijana kama hawa hawapewi nafasi ya kuskilizwa katika taifa letu.
Tunaletewa vijana wajinga kama Doto magari ili jamii izidi kuwa na wajinga. Tupate supu ya ubongo ili tubaki na tafakuri ya namna gani tunaweza kulikomboa taifa letu kwa adui ccm.