Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje.

Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.

Huo usalama wa hizo rasilimali upo mikononi kwa CCM? Jielimishe kwanza
 
Kwa hii chadema ya sasa hivi hata wakiniroga siwezi kuwachagua. Ni sawa na kumwachia kipofu akuonyeshe njia.
 

Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?​


Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni.

Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric.


Kwa heshima zote, labda niseme kwa kimombo...kama mleta mada, 'With all due respect'

Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na fungua za Rasilimali zetu.

Hii ni moja ya sababu nyingi tu.


Pamoja na kukosa sera, walishindwa kuonyesha ushirikiana na watetezi wa Bandari ambayo ni moja kati ya Rasilimali kuu za Taifa, Kimkakati.


Waombe kura, wakubalike, wachaguliwe. Hakuna cha kupewa.

Chagua kwa umakini 2024-2025
 
Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni.
CCM huwa wanaongea uongo kama vile ni ukweli huku sura zimewaparama. Hivi CCM lini imewahi kupigania Uhuru??
Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric.
Haya mawazo ni ya Siasa za kipagani.
Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na funguo za Rasilimali zetu.
Badala ya kuwatilia shaka CCM unawatilia shaka CHADEMA wasiohusika.
 
Back
Top Bottom