Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Feb 11, 2024 #21 Error 404 said: Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza. Click to expand... Huo usalama wa hizo rasilimali upo mikononi kwa CCM? Jielimishe kwanza
Error 404 said: Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza. Click to expand... Huo usalama wa hizo rasilimali upo mikononi kwa CCM? Jielimishe kwanza
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Feb 12, 2024 #22 Kwa hii chadema ya sasa hivi hata wakiniroga siwezi kuwachagua. Ni sawa na kumwachia kipofu akuonyeshe njia.
Kwa hii chadema ya sasa hivi hata wakiniroga siwezi kuwachagua. Ni sawa na kumwachia kipofu akuonyeshe njia.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Feb 12, 2024 #23 Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA? Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni. Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric. Kwa heshima zote, labda niseme kwa kimombo...kama mleta mada, 'With all due respect' Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na fungua za Rasilimali zetu. Hii ni moja ya sababu nyingi tu. Pamoja na kukosa sera, walishindwa kuonyesha ushirikiana na watetezi wa Bandari ambayo ni moja kati ya Rasilimali kuu za Taifa, Kimkakati. Waombe kura, wakubalike, wachaguliwe. Hakuna cha kupewa. Chagua kwa umakini 2024-2025
Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA? Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni. Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric. Kwa heshima zote, labda niseme kwa kimombo...kama mleta mada, 'With all due respect' Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na fungua za Rasilimali zetu. Hii ni moja ya sababu nyingi tu. Pamoja na kukosa sera, walishindwa kuonyesha ushirikiana na watetezi wa Bandari ambayo ni moja kati ya Rasilimali kuu za Taifa, Kimkakati. Waombe kura, wakubalike, wachaguliwe. Hakuna cha kupewa. Chagua kwa umakini 2024-2025
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Feb 12, 2024 #24 SYLLOGIST! said: Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni. Click to expand... CCM huwa wanaongea uongo kama vile ni ukweli huku sura zimewaparama. Hivi CCM lini imewahi kupigania Uhuru?? SYLLOGIST! said: Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric. Click to expand... Haya mawazo ni ya Siasa za kipagani. SYLLOGIST! said: Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na funguo za Rasilimali zetu. Click to expand... Badala ya kuwatilia shaka CCM unawatilia shaka CHADEMA wasiohusika.
SYLLOGIST! said: Ieleweke CCM hawakupewa Nchi tu. Waliipigania kutoka kwa Mkoloni. Click to expand... CCM huwa wanaongea uongo kama vile ni ukweli huku sura zimewaparama. Hivi CCM lini imewahi kupigania Uhuru?? SYLLOGIST! said: Sasa Kwanini CHADEMA wapewe tu? Kwani Serikali ni peremende? Its Rhetoric. Click to expand... Haya mawazo ni ya Siasa za kipagani. SYLLOGIST! said: Nina mashaka sana na CHADEMA kuwa na funguo za Rasilimali zetu. Click to expand... Badala ya kuwatilia shaka CCM unawatilia shaka CHADEMA wasiohusika.