ThubutuWasiojulikana walishasawazishwa na jeshi letu kibiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThubutuWasiojulikana walishasawazishwa na jeshi letu kibiti.
Ccm bwana mnajifanya wajanjaaa!Hapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
Sasa wameenda wapi baada ya Pompeo?? Hawana umuhimu tena?? HahaWasiojulikana wana umuhimu wake hata marekani wapo
Wanasawazisha wasaliti wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla hawajatoa Onyo walikutana na Mwenye kikosi na kumweleza ana kwa ana kuwa tunajua wewe ndio umekiunda na kukifadhili, kisambaratishe mara moja wakasema " we are not going to repeat" kama unavyojua mmarekani akisema jambo ana ushahidi 100%. Tangu hapo siraha iliyobaki ni uhujum uchumi.
Alishaanza kudeal nao mmoja mmoja, wengine kawapa ubalozi ili wadhibitiwe mdomo mdomo.Wasiojilikana wanatweta hapa usiku na mchana
Kazi yao imeisha sasa lizard anawageuka
Soon atawamaliza wote kufuta ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo Mike hata sisi tuna yetu moyoni. Wao na CIA yao ndio walimuua Patrice lumumba rafiki wa Mwl JKN na sisi huwa hatuongei hadharani mwambie aendelee tu.Yaani sisi kupinga ushoga ndio asingizie hadi ambayo hayapo...Walishaki-beep kichwa cha Wasiojulikana. Endeleeni kama mnaweza basi. Statement moja tu ya Pompei wa Marekani na itakuwa mwisho wenu. Hilo wamewaambia wazi.
Kwahiyo unanimainishia kwa Ben saanane pia walipoteza mudaHapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
Kwani ilikuwaje? Wewe labda unafahamu kila kitu na uliona kwa macho yako. Hilo suala silifahamu kabisa.
Pole sana mwanetu masogangeWasiojilikana wanatweta hapa usiku na mchana
Kazi yao imeisha sasa lizard anawageuka
Soon atawamaliza wote kufuta ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenye mada mkuu haya mapovu waachie wadogo zako.Hahahaha masikini mkichwa
Mauaji yapo dunia nzima na sababu hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine.Kw maneno mengine unakiri kuwa kuna mauaji ndani ya nchi yetu ila Marekani haina moral authority kuongelea mauaji hayo. Sawa?
Mleta mada anajenga hoja kama vile Marekani ndio kila kitu, wakati wamefanya uchafu mwingine tangu miaka ya 1960 hata kabla ya hapo.Kwa nini tunawapapatikia? Tujiulize kwanza. Mind you, si wewe wala mimi bali ni viongozi wa taifa letu ndo wanapapatikia.
Ni kweli kabisaMbona hujaongelea waliokuwa wanavamia misafara ya askari wetu na kuwapora silaha na kuwahua? Mbona ujaongelea genge LA wezi na majambazi wa kuvamia mabenk? Sasa hivi wapo?
Sawa...umewasahau wale 'wasiojulikana' waliokuwa wakiua Askari na hasa polisi ...hujawataja 'wasiojulikana' wa kule kibiti waliokuwa wakiwaua raia wema na hasa viongozi wa serikali na CCM..Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla walioikosoa serikali. Pia kulikuwa na wafanya biashara wakubwa ambao walionekana kutenda kinyume na matakwa ya serikali,
Na jambo jingine Marekani waliloona wazi ni kwamba siku zote Polisi hawakuonyesha nia ya dhati ya kushughulikia na kupepeleza kesi au matukio yaliyofanywa na hiki kikosi cha Wasiojulikana. Mara nyingone Polisi walitoa matamko ya kuwalaghai na kuwapoteza lengo wananchi pale ilipohusu matukio ya Wasiojulikana.
Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Tunawashukuru sana Marekani kwa jambo hili. Ni wazi kuingilia kwenu kumeokoa maisha ya Watanzania wengi na kutoa ahueni kubwa. Tunajua watu wegi walikuwa kwenye "hit list" ya hiki kikosi cha Wasiojulikana na kama sio kuingilia kwenu wengi wangeumizwa au kutoweshwa. Lakini bado tunaomba mwende mbali zaidi na kufunua wazi nani waliohusika na kikosi cha Wasiojulikana, na kiliundwa kwa amri ya nani. Damu za waliopota zinatulilia tuwafanyie hilo.
Mkuu wenu wa wasiojulikana mbona nae ni shogaPompeo lile linakasrika mashoga yakiguswa halijui chochote kuhusu mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Irrelevant!Mleta mada anajenga hoja kama vile Marekani ndio kila kitu, wakati wamefanya uchafu mwingine tangu miaka ya 1960 hata kabla ya hapo.
Tafuta sababu hasa ya Kennedy kuuawa 1963 na mauaji mengine mengi tu ya kinyama yaliyofanywa kwa ruhusa ya CIA.
Mungu wabariki wamarekaniMarekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla walioikosoa serikali. Pia kulikuwa na wafanya biashara wakubwa ambao walionekana kutenda kinyume na matakwa ya serikali,
Na jambo jingine Marekani waliloona wazi ni kwamba siku zote Polisi hawakuonyesha nia ya dhati ya kushughulikia na kupepeleza kesi au matukio yaliyofanywa na hiki kikosi cha Wasiojulikana. Mara nyingone Polisi walitoa matamko ya kuwalaghai na kuwapoteza lengo wananchi pale ilipohusu matukio ya Wasiojulikana.
Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Tunawashukuru sana Marekani kwa jambo hili. Ni wazi kuingilia kwenu kumeokoa maisha ya Watanzania wengi na kutoa ahueni kubwa. Tunajua watu wegi walikuwa kwenye "hit list" ya hiki kikosi cha Wasiojulikana na kama sio kuingilia kwenu wengi wangeumizwa au kutoweshwa. Lakini bado tunaomba mwende mbali zaidi na kufunua wazi nani waliohusika na kikosi cha Wasiojulikana, na kiliundwa kwa amri ya nani. Damu za waliopota zinatulilia tuwafanyie hilo.
Jpm ameomba msamaha kwa pompeo, kila mbabe na mbabe wakeHapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
Kwani shoga mmoja wapo si bashite na shuzi lake lilePompeo lile linakasrika mashoga yakiguswa halijui chochote kuhusu mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app