Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hawana mpya tena

Kupata kiongozi J. Kalulu ni tatizo jumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walishaki-beep kichwa cha Wasiojulikana. Endeleeni kama mnaweza basi. Statement moja tu ya Pompei wa Marekani na itakuwa mwisho wenu. Hilo wamewaambia wazi.
Mwambie huyo Mike hata sisi tuna yetu moyoni. Wao na CIA yao ndio walimuua Patrice lumumba rafiki wa Mwl JKN na sisi huwa hatuongei hadharani mwambie aendelee tu.Yaani sisi kupinga ushoga ndio asingizie hadi ambayo hayapo...
 
Kw maneno mengine unakiri kuwa kuna mauaji ndani ya nchi yetu ila Marekani haina moral authority kuongelea mauaji hayo. Sawa?
Mauaji yapo dunia nzima na sababu hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine.

Wanaoishi ni binadamu wenye udhaifu wa kibinadamu.
 
Kwa nini tunawapapatikia? Tujiulize kwanza. Mind you, si wewe wala mimi bali ni viongozi wa taifa letu ndo wanapapatikia.
Mleta mada anajenga hoja kama vile Marekani ndio kila kitu, wakati wamefanya uchafu mwingine tangu miaka ya 1960 hata kabla ya hapo.

Tafuta sababu hasa ya Kennedy kuuawa 1963 na mauaji mengine mengi tu ya kinyama yaliyofanywa kwa ruhusa ya CIA.
 
Sawa...umewasahau wale 'wasiojulikana' waliokuwa wakiua Askari na hasa polisi ...hujawataja 'wasiojulikana' wa kule kibiti waliokuwa wakiwaua raia wema na hasa viongozi wa serikali na CCM..
 
Mleta mada anajenga hoja kama vile Marekani ndio kila kitu, wakati wamefanya uchafu mwingine tangu miaka ya 1960 hata kabla ya hapo.

Tafuta sababu hasa ya Kennedy kuuawa 1963 na mauaji mengine mengi tu ya kinyama yaliyofanywa kwa ruhusa ya CIA.
Irrelevant!
Hatutaki MAUAJI .... full stop. Sheria za nchi zifuatwe !
 
Mungu wabariki wamarekani
 
Hapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
Jpm ameomba msamaha kwa pompeo, kila mbabe na mbabe wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…