Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Wakati mwingine kumkumbusha tu kwamba kuna watu huwa hawalali kwa ajili ya taifa lao.
Kuna watu wanajikata kucha na miguu ili chakula kisikose nchini,kuna watu wanakula chaki kila siku ili Taifa lisiwe na wajinga ,kuna watu awalali wapo wanatibu watu ili wasife...Afya...So usidhani jeshi au polisi ndiyo muhimu kuliko watu wengine.
 
Tangu pompeo atoe tamko naona wasiojulikana na bosi hatujasikia Israel akiwatembelea watu
 
Al
Kuna watu wanajikata kucha na miguu ili chakula kisikose nchini,kuna watu wanakula chaki kila siku ili Taifa lisiwe na wajinga ,kuna watu awalali wapo wanatibu watu ili wasife...Afya...So usidhani jeshi au polisi ndiyo muhimu kuliko watu wengine.
Aliyesema hizo kada zingine sio muhimu nani?
 
Ile jamii ilishazoea kuuwa wazee ,albino na vikongwe kosa lao eti kuwa na macho mekundu wao kuwanyima wengine haki ya kuishi ni sawa na kunywa soda.
 
Umbumbumbu mwingine unatia kinyaa...Bongolala huyu hajui kuwa kila serikali ina njia zake za kukabiliana na wasaliti kutegemea na udharura wake?! Abaki tu kushobokoa asichokijua. Chapa kazi halali ujikwamue kimaisha...usingeje mteremko kama wa kitonga. kalagabaho!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…