KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kama walifanya hivi wanastahiri pongezi na shukrani.Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Ukifanya hivyo, usisahau pia ziara za Tundu Lissu alizofanya huko kuwa ndio kianzio na kichocheo cha kuyafahamu hao wakubwa.Mtumshukuru Pompeo ( USA) amesaidia kumaliza ili tatizo
Watu wamejifunza kutumia lugha za staha. Maana bila action baadhi yenu hamuelewi.Huwezi kukosoa kwa matusi eti kisa unatumika.Mtumshukuru Pompeo ( USA) amesaidia kumaliza ili tatizo
Wasiojulikana ni mafala Tu mbona sikuhizi wamepoa Ile mipango Yao ya kishamba IPO ya kutekana iko uchi duniani kote wanajua aliyekuwa nyuma Yao....Wasiojulikana wana umuhimu wake hata marekani wapo
Wanasawazisha wasaliti wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio chanzo cha kuua,kupoteza na kuteka? Basi huyu aliewaita watu mashetani na mwingine anawaita corona asubuli muda wowote mtamteka.Watu wamejifunza kutumia lugha za staha. Maana bila action baadhi yenu hamuelewi.Huwezi kukosoa kwa matusi eti kisa unatumika.
Hamna kitu apo mkuu usiongopeeUkifanya hivyo, usisahau pia ziara za Tundu Lissu alizofanya huko kuwa ndio kianzio na kichocheo cha kuyafahamu hao wakubwa.
Mtamteka? Na akina nani? Nchi hii inafanya kazi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi acha kubwabwaja.Kumbe ndio chanzo cha kuua,kupoteza na kuteka? Basi huyu aliewaita watu mashetani na mwingine anawaita corona asubuli muda wowote mtamteka.
Wakati mwingine kumkumbusha tu kwamba kuna watu huwa hawalali kwa ajili ya taifa lao.
Hii kazi wanaifanya kwa uzalendo na kuipenda nchi yao. Sio mshahara hata kidogo.Hawalali kwa kijitolea au hawalali kwakuwa kazi wanayolipwa nayo mshahara ndio inavyotaka? Unaongeza kama vile hawalali kwakuwa wanampenda sana na hii nchi na sio mshahara.
An individual that was not happy with JFK as President. So what are you suggesting, we emulate that when we are not happy with our president? We are not that satanic like that individual or some people in this country, and we will never kill because we dont like a political figure. Sorry.Who killed JFK??
Kuua watu ambao hawakubaliani nao? Na siku wao wakiwa upande wa pili itakuwa ni halali kwao kuuwawa?Hii kazi wanaifanya kwa uzalendo na kuipenda nchi yao. Sio mshahara hata kidogo.
HUwezi kulinganisha suala la mauaji ya kisiasa na janga la kitu kama Coronavirus. Adjust your thinking.Wamarekani ni watu fulani wanafiki tu, tusiwaogope sana na kuwapapatikia kupita kiasi.
Wakati wa furaha wamarekani wanajifanya marafiki wa karibu wa nchi za ulaya ikiwemo Italia.
Limekuja balaa la corona husikii wamarekani wakisikitishwa na vifo vya Italy. Cuba ambayo ni nchi iliyowekeza kwenye masuala ya tiba ndio madaktari wake wanakwenda kusaidia uokoaji Italy.
Kweli kabisa maana hao ndiyo walikuwa corona yetuMarekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi na wananchi kwa ujumla walioikosoa serikali. Pia kulikuwa na wafanya biashara wakubwa ambao walionekana kutenda kinyume na matakwa ya serikali,
Na jambo jingine Marekani waliloona wazi ni kwamba siku zote Polisi hawakuonyesha nia ya dhati ya kushughulikia na kupepeleza kesi au matukio yaliyofanywa na hiki kikosi cha Wasiojulikana. Mara nyingone Polisi walitoa matamko ya kuwalaghai na kuwapoteza lengo wananchi pale ilipohusu matukio ya Wasiojulikana.
Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Tunawashukuru sana Marekani kwa jambo hili. Ni wazi kuingilia kwenu kumeokoa maisha ya Watanzania wengi na kutoa ahueni kubwa. Tunajua watu wegi walikuwa kwenye "hit list" ya hiki kikosi cha Wasiojulikana na kama sio kuingilia kwenu wengi wangeumizwa au kutoweshwa. Lakini bado tunaomba mwende mbali zaidi na kufunua wazi nani waliohusika na kikosi cha Wasiojulikana, na kiliundwa kwa amri ya nani. Damu za waliopota zinatulilia tuwafanyie hilo.
Acha kukurupuka. Hawa wanalinda taifa letu liwe salama kwa kila namna.Sio kuua watu kama unavyowasingizia.Kuua watu ambao hawakubaliani nao? Na siku wao wakiwa upande wa pili itakuwa ni halali kwao kuuwawa?
Hii kazi wanaifanya kwa uzalendo na kuipenda nchi yao. Sio mshahara hata kidogo.
Acha kukurupuka. Hawa wanalinda taifa letu liwe salama kwa kila namna.Sio kuua watu kama unavyowasingizia.
HIyo ni sehemu ya siasa. Umeona kwa mfano Marekani Democrats na Republicans wanavyoshambuliana kwa maneno? Na jirani hapa Afrika Kusini? Ulishaona kila Malema wanavyowapasha ANC na hata raisi? Je CCM mara ngapi wanatumia maneno ya kejeli kwa kuwa ni siasa? Juzi hapaolepole kaita wapinzani corovavirus.Watu wamejifunza kutumia lugha za staha. Maana bila action baadhi yenu hamuelewi.Huwezi kukosoa kwa matusi eti kisa unatumika.
Siwezi jibu swali ambalo sijalielewa. Unamaanisha wahudumu wa night club au?Kwahiyo watu wa night club nao wanafanya kazi zao kwa kuipenda nchi na sio mshahara? Hivi unaona unaongea na watoto ama?