Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

bashite na kikosi chake cha wauaji ni waoga balaaa, biti dogo tuu la wamarekani anajifungia chumbani, bado tunaye, basha ake akitoka madarakani tunamburuza mahakamani
 
Heshima yako mkuu...hivi mpaka leo unapenda kuendelea na ushoga kweli?
Wanajeshi kuchunguzwa ni jambo zuri maana walitenda makosa...Ndiyo maana msamalia mwema Hon.POMPEO ajaishia tu huko bali na huku maana nasikia kilio cha wengi.
Uwe unaangalia BBC,CNN na Aljazeera tatizo lako unapenda udaku. Mike Pompeo ni mnafiki hataki wanajeshi wa marekani wapelekwe ICC wakati walifanya makosa. Huyu ni mnafiki tu.
 
Uwe unaangalia BBC,CNN na Aljazeera tatizo lako unapenda udaku. Mike Pompeo ni mnafiki hataki wanajeshi wa marekani wapelekwe ICC wakati walifanya makosa. Huyu ni mnafiki tu.
Kwahiyo unamanisha nini,hivi ilikujua ayo mpaka uangalie CNN au BBC nitakufungia huduma ya kujadiri na wewe kama Litwege,USSR et al
 
Kama police na vyombo vingine vya dola haviwezi kupeleleza wala kuchukua hatua kwa matendo maovu yanayofanywa na kikosi cha wasiojulikana then unahaja tena ya kuuliza nani kakiunda na nani anakifadhiri?
 
Mkuu, kitu ya ajabu kabisa ni kwamba kuna watu humu JF wanaona matendo ya Wasiojulikana yalikuwa halali. Hivi unawezaje kuwa mwenda wazimu wa kiasi hicho? Yaani naona kuna watu wana roho mbaya kuliko shetani.
Wamo humu pia Mkuu. Hivyo ni miongoni mwao wanaojaribu kupindisha ukweli. Usiwashangae kwa michango yao ya hovyo humu JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P.mayalla,hamtamwona hapa.
Hii Kama siyo kumzidi uwezo basi itikadi imemlevya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…