Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Sisi tunamshukuru kwa ilo maana tulikua ata ukiona gari tinted ipo nyuma yako..basi lazma uwajulishe ndugu na jamaa.
Pili ata apa tuna mawaziri basi nao watoe tamko kuhusu USA na kufungia watu wa USA kuja apo Bongo..
Wewe utakuwa sio mtu mwema au labda hata jambazi,yaani ukiona gari tinted nyuma ikikufuata unaogopa! Miaka yote nchi yetu huwa haitaki migogoro na nchi zingine. We acha huyo Pompeo apige kelele, Trump akimwagwa wanakuja Democrats kila mtu atamsahau.
 
Usalama wa nchi ni pamoja kuwalinda raia wote dhidi ya mabaya kama magonjwa,njaa,mauaji nk..Sasa nashangaa mtu anasema kama mtu amekua hatari lazma auwawe..je,kua na mawazo tofauti ni hatari siku hizi kwa Taifa? Je,hamuoni kua ilo kundi lilijulikana kama wasiojulikana kua ndio hatari kwa Taifa? Let's comeback to our senses aisee
Mkuu, kitu ya ajabu kabisa ni kwamba kuna watu humu JF wanaona matendo ya Wasiojulikana yalikuwa halali. Hivi unawezaje kuwa mwenda wazimu wa kiasi hicho? Yaani naona kuna watu wana roho mbaya kuliko shetani.
 
Wewe utakuwa sio mtu mwema au labda hata jambazi,yaani ukiona gari tinted nyuma ikikufuata unaogopa! Miaka yote nchi yetu huwa haitaki migogoro na nchi zingine. We acha huyo Pompeo apige kelele, Trump akimwagwa wanakuja Democrats kila mtu atamsahau.
Vyovyote utakavyosema ila kwasasa angalau hofu imepungua kabisa...
GOD BLESS HON.POMPEO
 
Wasiojulikana wana umuhimu wake hata marekani wapo

Wanasawazisha wasaliti wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wa kule hawa fanyi kazi zao kibwege bwege kama wa huku!!! Hata awamu ya kwanza, 2,3 walikuwepo lakini sio kufanya kazi kiboya boya kama hawa!!! Hizo kazi zina wenyewe, ndio unasikia mtu kaenda kusomea, urusi, Israel, sasa wewe unakusanya kikundi cha wahuni tu, ndio wafanye?!!
 
kama hamtaki wajerumani wabebe lawama kwa mauaji waliyofanya, hapa mnatetea nini?
Kwa kuwa tuna akili kuliko wewe, hatuwezi kuwalaumu Wajerumani wa leo kwa makosa ya Wajerumani wa wakati huo. Unataka utuambie tuwalaumu watu wa Uganda kwa mambo waliyotufanyia wakati wa Idd Amin. Sasa akili hiyo? Hiyo inaweza tu ikawa akili ya watu wanaounga mkono Wasiojulikana. Satanic thinking.
 
Vyovyote utakavyosema ila kwasasa angalau hofu imepungua kabisa...
GOD BLESS HON.POMPEO
Hamna lolote nchi ipo shwari na JPM na vijana wake wanachapa kazi,hakuna ubabaishaji,hakuna ubadhirifu, nidhamu kazini imerudi na miradi inazidi kutekelezwa.
Hongera JPM
 
kama hamtaki wajerumani wabebe lawama kwa mauaji waliyofanya, hapa mnatetea nini?
Hamna tunae mtetea zaidi ya kumpongeza Mh.POMPEO kwa Upendo wake kwetu tusio na vyombo vya moto,madaraka wala mtetezi.
GOD BLESS HON.POMPEO
 
Kwa kuwa tuna akili kuliko wewe, hatuwezi kuwalaumu Wajerumani wa leo kwa makosa ya Wajerumani wa wakati huo. Unataka utuambie tuwalaumu watu wa Uganda kwa mambo waliyotufanyia wakati wa Idd Amin. Sasa akili hiyo? Hiyo inaweza tu ikawa akili ya watu wanaounga mkono Wasiojulikana. Satanic thinking.
haha hatari, so hapa unataka kunambia tendo baya lina muda wake wa kuexpire?
 
Hamna lo
Hamna lolote nchi ipo shwari na JPM na vijana wake wanachapa kazi,hakuna ubabaishaji,hakuna ubadhirifu, nidhamu kazini imerudi na miradi inazidi kutekelezwa.
Hongera JPM
Kweli kabisa...Ila angalau hofu imepungua asa wale wenye itikadi tofauti,mawazo tofauti nk..MH.POMPEO ameonyesha kujari sana.
Kwasasa kutekwa,kupotezwa,kunyanyaswa angalau kumepungua aisee...KUNDI LA WASIOJULIKANA KWISHA...ata USA mmekatazwa kukanyaga.
 
Kwani lazima waende Usa,hata Capetown ni pazuri kwa kula bata.
 
Wewe ebu acha kabisa..mtu kuambiwa apa urusiwi kukanyaga sio kitu kidogo mkuu.
Uwezi jua,huyu ameanza na huko mbele ata wengine wanaweza kupiga ban au ku issue arrest warrant
 
We umekengeuka arrest warrant kama nani? Hapo unapoongea ICC inachunguza ukatiri wa askari wa marekani Afghanistan ambapo walikiuka haki za binadamu. Huyo Pompeo amekuwa mbogo alafu mashoga wa bongo mnamuona kama mungu.
 
Heshima yako mkuu...hivi mpaka leo unapenda kuendelea na ushoga kweli?
Wanajeshi kuchunguzwa ni jambo zuri maana walitenda makosa...Ndiyo maana msamalia mwema Hon.POMPEO ajaishia tu huko bali na huku maana nasikia kilio cha wengi.
 
Back
Top Bottom