Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Ifike mahali sasa umsamehe huyu Mbaba. Na bahati mbaya naona kama serikali inambeba beba.Rais wa Uwongo, Uchawi na Utapeli ni Yule wa Tanganyika Packers Kawe ambaye kwa bahati mbaya hata Jina lake nimelisahau.
Lakini nimeyapokea malalamiko yako kwa asilimia mia moja