Smotor JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 2,461 Reaction score 2,058 Jul 11, 2023 #41 GENTAMYCINE said: Rais wa Uwongo, Uchawi na Utapeli ni Yule wa Tanganyika Packers Kawe ambaye kwa bahati mbaya hata Jina lake nimelisahau. Click to expand... Ifike mahali sasa umsamehe huyu Mbaba. Na bahati mbaya naona kama serikali inambeba beba. Lakini nimeyapokea malalamiko yako kwa asilimia mia moja
GENTAMYCINE said: Rais wa Uwongo, Uchawi na Utapeli ni Yule wa Tanganyika Packers Kawe ambaye kwa bahati mbaya hata Jina lake nimelisahau. Click to expand... Ifike mahali sasa umsamehe huyu Mbaba. Na bahati mbaya naona kama serikali inambeba beba. Lakini nimeyapokea malalamiko yako kwa asilimia mia moja
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Jul 11, 2023 #42 Asante MUNGU kwa kunipa macho ya Rohoni, ninaweza kuwajua Manabii wa uongo na mambo yajayo... Asante MUNGU
Asante MUNGU kwa kunipa macho ya Rohoni, ninaweza kuwajua Manabii wa uongo na mambo yajayo... Asante MUNGU