Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mi sijakwapua mkuu ila pia ni vyema bilionea akachangia kodi sio mlalahoi abinywe kende halafu tajiri akwepe kodi aachwe. Huo ni ujinga ambao hautupeleki kokote. Kitambulisho cha elfu 2O kina mantiki na kilishawishi watu wengi kulipa ni tozo isioumiza inayolipwa mara moja kwa mwaka.Lipa tozo acha blaa blaa..Wakati nyie mnakwapua kwenye accounts za Wafanyabiashara na vitambulisho feki vya machinga mbona hukuropoka?
Hukwapuliwi bali unakatwa Kodi..