Mi sijakwapua mkuu ila pia ni vyema bilionea akachangia kodi sio mlalahoi abinywe kende halafu tajiri akwepe kodi aachwe. Huo ni ujinga ambao hautupeleki kokote. Kitambulisho cha elfu 2O kina mantiki na kilishawishi watu wengi kulipa ni tozo isioumiza inayolipwa mara moja kwa mwaka.Lipa tozo acha blaa blaa..Wakati nyie mnakwapua kwenye accounts za Wafanyabiashara na vitambulisho feki vya machinga mbona hukuropoka?
Hukwapuliwi bali unakatwa Kodi..
Machoko ni wengi humo ndio wazembe ambao wanamdiss JPM. Hakupora hela kwa maskini ila mambo yake alifanya.
Kumpa hoja mwendawazimu inataka moyo bora kumpa spana tuHiv hamuwez kutoa hoja bila kutukana????kwann mnamuona huyo mnaemsifia kila kukicha kama Malaika???
Maamuzi mangap ameyafanya na kulitia hasara Taifa???au ndo mahaba niue???
Hata sasa bilionea wanachangia zaidi kuliko nyie machoko,machoko hawana acconts banks ila qatu wa middle income na matajiri so wao Wana transact zaidi kuliko nyie machoko na hivyo wanachangia zaidi na hii ni across Kodi zote na sekta zote.Mi sijakwapua mkuu ila pia ni vyema bilionea akachangia kodi sio mlalahoi abinywe kende halafu tajiri akwepe kodi aachwe. Huo ni ujinga ambao hautupeleki kokote. Kitambulisho cha elfu 2O kina mantiki na kilishawishi watu wengi kulipa ni tozo isioumiza inayolipwa mara moja kwa mwaka.
We wanakuchocha kweli, kati ya matajiri na middle income wangapi ni wengi kwa idadi? Matajiri hawafiki hata 3% ya 6OM residents.Hata sasa bilionea wanachangia zaidi kuliko nyie machoko,machoko hawana acconts banks ila qatu wa middle income na matajiri so wao Wana transact zaidi kuliko nyie machoko na hivyo wanachangia zaidi na hii ni across Kodi zote na sekta zote.
Walio wengi Kwa idadi wanachangia kidogo kulingana na kipato Chao,walio wachache Kwa idadi wanachangia kingi kulingana na vipato vyao..We wanakuchocha kweli, kati ya matajiri na middle income wangapi ni wengi kwa idadi? Matajiri hawafiki hata 3% ya 6OM residents.
Wanakutia ndongaπππ mie kodi nayolipa kwa mwaka inawazidi Mo na suria wake babra na ukoo wao toka kizazi cha tatu nyuma.Walio wengi Kwa idadi wanachangia kidogo kulingana na kipato Chao,walio wachache Kwa idadi wanachangia kingi kulingana na vipato vyao..
Ndio maana Kodi ya Mo peke yake inaweza kuzidi nyie machoko mil.20..
So transactions za Mo zinaingiza tozo nyingi kuliko nyie machoko mil.20.
We choka utakuwa hulipi hata Kodi boya wewe..Wanakutia ndongaπππ mie kodi nayolipa kwa mwaka inawazidi Mo na suria wake babra na ukoo wao toka kizazi cha tatu nyuma.
mjanee πππMjane yatosha. Nasema yatosha. Wajane wangapi wamefiwa na mabwana zao lakini maisha yanaendelea. Utalialia hadi lini?
Kammoon!
Sawa bwana cheti feki π wesindio una EFD yanguWe choka utakuwa hulipi hata Kodi boya wewe..
Huna hoja.
Tozo haihusiani na efdSawa bwana cheti feki π wesindio una EFD yangu
Ndege hazina usimamizi mzuri ndio maana zinaonekana zinaleta hasara.
Alionesha uthubutu wa serikali yake pia maamuzi yake yalikuwa imara leo hii ATCL ipo inafanya kazi ila wachache kama nyie hamtaki kuikubali nchi yenu...
SahihiAlichokuwa akifanya Jinamizi ni kupora Wafanyabiashara.
Duh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jiwe alikuwa hakusanyi fedha. Alikuwa anapora fedha.
Tulikubaliana huyu mwendahovyo, mfedhuli, mwanaizaya bin shetwani, mtesaji na muuaji asitajwe tena hapa JF. Imekuwaje mleta mada ukamtaja?