Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Rudi kusoma kwanza ,maelezo yote yapo kweny uislamu ,jaribu kusoma kwanza usiwe unakurupuka waislamu wanatao kila kitu kilchopo kimefundishwa π π .Ndio hapa utajua wavaa kamzu akili hawana, hawajui kwamba wale waarabu walivaa kanzu, kufuga ndevu na kuongea kiarabu kabla hata mudi hajazaliwa
Ukristo wa ukatoliki uliweza kufanya hivyo ila lengo kuu ilikua ni kuvuta watu wa jamii hio kuwa upande wao.Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye.
Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku tukitupilia mbali tamaduni za waliotuletea dini hizo?
AahaaaNdio hapa utajua wavaa kamzu akili hawana, hawajui kwamba wale waarabu walivaa kanzu, kufuga ndevu na kuongea kiarabu kabla hata mudi hajazaliwa
acha chuki we mrangi!!Ndio hapa utajua wavaa kamzu akili hawana, hawajui kwamba wale waarabu walivaa kanzu, kufuga ndevu na kuongea kiarabu kabla hata mudi hajazaliwa
Sahau kwani aujui dini ni kama ugonjwa wa akili yani ukijiingiza tu tiyali Mizembe moja iyo.Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye.
Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku tukitupilia mbali tamaduni za waliotuletea dini hizo?
Mikoa wapo wana majini ila dini tofauti ,nimesoma na jamaa wawili ni maostadh tena wakubwa wana majina ya kikristo full .Zanzibar mbona wapo waislamu wanaitwa Makame, jecha, pandu, Mosi, Shaame n.k
hayo yote si majina ya kiarabu bali ni ya kiasili ya mswahili
edward ni majina ya kimagharibi, naamini huko kwenye nchi za kimagharibi wapo waislamu wenye majina hayo.
Je kuna muislamu mwenye asili ya kiarabu anayeitwa EDWARD?
sidhani, kwa sababu si majina ya asili yao.
==================
Ukatoliki unaendana na mambo mengi ya asiliUkristo wa ukatoliki uliweza kufanya hivyo ila lengo kuu ilikua ni kuvuta watu wa jamii hio kuwa upande wao.
Kwa mfano kule Kilimanjaro wakati wanaingia wamisionari hawakuenda kinyume na utamaduni wao, kwamba utabatizwa jina la kidini lakini lazima uwe na jina la nyumbani ambalo litakuwa la kikabila au utamaduni huo ambalo lita wekwa pamoja kwenye kitambulisho cha ubatizo.
Pombe aina ya mbege hakikuzuiliwa hata sehemu ya matoleo kanisani mbege ilipelekwa, jani fulani la ki mila lilitumika kuombea msamaha nalo lilikuwa sehemi ya ibada, na mengi mengi lakini yote hayo yalifanyika bila kuathiri utamaduni wa kirumi mpaka leo.
Ni utamaduni tu wa waswahili kwa waislam majina ya kiarabu na wakristo ya kizunguLakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Umeielewa hoja? Hoja inahoji juu ya imani kubebeshwa utamaduni.Rudi kusoma kwanza ,maelezo yote yapo kweny uislamu ,jaribu kusoma kwanza usiwe unakurupuka waislamu wanatao kila kitu kilchopo kimefundishwa π π .
Hamna mavazi kama kanzu sio lazima ,unavaa chochote kile na watu wote wapo sawa ... Fashion ya mvazi hata suti tunatumia za wazungu sio utamaduni wa Africa.
Nenda angalau senegal ,Nigeria ukaone wanavyovaa kiasilia si waislamu wala wakristo.
Mavazi ni kwa vile imported watu wanavaa styl watakazo, kuna black American style kama jeans na mavqzi ya mashariki ya kati
Hahahha, heeee, Mrangi kumbe ni tusi..ππacha chuki we mrangi!!