Unaweza kumuabudu YAHWE na ALLAH bila kufuata Tamaduni za Kigeni.Dini ni utamaduni. Dini ni mwenendo. Utakuaje na dini kisha usifuate utamaduni,mwenendo na maadili yake?
Labda iwe dini mpya ila sio hizo
nani kasema ni tusi?? mbona unajishtukia?Hahahha, heeee, Mrangi kumbe ni tusi..😃😃
Majina hayana tofauti ,kwa sababu yana maana yake ...Umeielewa hoja? Hoja inahoji juu ya imani kubebeshwa utamaduni.
Unakuta jitu liko Mtwara ndani ndani huko, linaotwa Omar Omar Ramadhan, au Erick Patrick Steven, sasa unajiuliza, jina lake la ukoo la mababu zake liko wapi?! Mtu hawezi akaitww Omar maneno na akawa muislam?
Sasa kabila linajenga vipi hoja yako ya mimi kuwa na chuki unayodai?nani kasema ni tusi?? mbona unajishtukia?
Wafadhili wakituona hivyo watakubali kweli kuendelea kutuletea tende na vile viatu/nguo za mitumba wanazotuleteaga?Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye.
Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku tukitupilia mbali tamaduni za waliotuletea dini hizo?
Yeah, na ndo hapo utajua wavaa misalaba akili WANAZO tele maana utaona mapaja na vyupi kwenye mabenchi ndani ya kanisa kama wazungu huku nao wakifurahia ruhusa ya papa ya wanaume kuolewa........wanajihisi wazungu kamili, tena wale original wa uingereza.Ndio hapa utajua wavaa kamzu akili hawana, hawajui kwamba wale waarabu walivaa kanzu, kufuga ndevu na kuongea kiarabu kabla hata mudi hajazaliwa
Inawezekanaje mkuu na wapi imewahi kutokea?!!!Ukristu inawezekana ila Kwa wale wanaomwabudu mwarabu haiwezekani ,kuanzia Mavazi, lugha, vyakula, Kila kitu wamemwiga mwarabu
Mbeya wanasali mpaka kwa kinyakyusa na BIBLIA ya Kinyakyusa huwezi kuwaambia eti lugha fulani ndio ya kusalia watakuona mwehu,vyakula vya kwao huwezi kuwaambia eti vya kizungu au kiarabu ndio vizuri kama huko Pwani.Kanzu ishafanywa ni utamaduni wa mashariki ya kati huwezi kumshawishi mtu mwenye utimamu wa akili ukaihusisha na imani.Andendekisye,Tumpale,Aswile,Bupe....ni majina pendwa na ya kujivunia.Nachukia kukutana na mtu ananisalimia salam aleko ni utumwa maana kiswahili kipo cha maana ya hiyo salaam.Inawezekanaje mkuu na wapi imewahi kutokea?!!!
SIjui kama uislamu unawezekana bila uarabu wa aina fulani.Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye.
Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku tukitupilia mbali tamaduni za waliotuletea dini hizo?
Okaaay!Mbeya wanasali mpaka kwa kinyakyusa na BIBLIA ya Kinyakyusa huwezi kuwaambia eti lugha fulani ndio ya kusalia watakuona mwehu,vyakula vya kwao huwezi kuwaambia eti vya kizungu au kiarabu ndio vizuri kama huko Pwani.Kanzu ishafanywa ni utamaduni wa mashariki ya kati huwezi kumshawishi mtu mwenye utimamu wa akili ukaihusisha na imani.Andendekisye,Tumpale,Aswile,Bupe....ni majina pendwa na ya kujivunia.Nachukia kukutana na mtu ananisalimia salam aleko ni utumwa maana kiswahili kipo cha maana ya hiyo salaam.
Kushabikia dini bila elimu ni ujinga na utumwa.Yeah, na ndo hapo utajua wavaa misalaba akili WANAZO tele maana utaona mapaja na vyupi kwenye mabenchi ndani ya kanisa kama wazungu huku nao wakifurahia ruhusa ya papa ya wanaume kuolewa........wanajihisi wazungu kamili, tena wale original wa uingereza.
Tamaduni zilikiwepo kqbla ya dini,Dini ni utamaduni. Dini ni mwenendo. Utakuaje na dini kisha usifuate utamaduni,mwenendo na maadili yake?
Labda iwe dini mpya ila sio hizo